Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa
Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana
Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha...
Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema.
Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri katika kuwaondoa watu kwenye umaskini, na kuiweka Tanzania kuwa miongoni mwa nchi mbili pekee za Afrika...
Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate fundi kweli , wewe umeonaje
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na...
Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako:
1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako ni ndefu, ngumu na inachanganya herufi kubwa, ndogo, namba, na alama maalum. Epuka kutumia maneno...
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.
HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia ndio itayoleta mwanga wa kupambana na hiki kirusi, lakini kuna baadhi ya wanyama kirusi hakiwezi...
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali
Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi.
Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi.
Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu.
Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la...
Picha: Pinterest
Mwandishi wa Sianca Sparacino katika kitabu chake cha "The Strength in our scars" anasema kuwa, kovu lako ni kumbukumbu ya mapambano uliyopitia na nguvu uliyo nayo. Lipokee kwa furaha, kwani ni sehemu ya hadithi yako na wewe ni nani.
Huku akiamini kuwa kovu si ishara ya...
Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff.
Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
Hii imekaa kiwaki sana. Nimejaribu kuassume tokea majuzi, naona haiingii akilini kabisa. Mfano ulio hai, nina mke, Mama Chanja. Kusema kweli ninavyovipata kwa Mama Chanja sijawahi kuridhika, kwanza nimezoea na isitoshe siku ninapoitaka, yeye anakuwa out of mood, siku ambayo nimepiga zangu vileo...
Jeshi la Ukraine lipo nchini Mali likijiunga na waasi wa Tuareg wanaopambana na jeshi la Mali pamoja na Russia wakisaidiwa na mercenaries wake. Hii imefichuka baada ya Serikali ya Mali kutangaza kuwa imevunja uhusiano wa kidiplomatic na Ukraine baada ya Ukraine kuwapatia taarifa za kijasusi...
Ni vizuri tukaanza kuwekana sawa maana maneno na majigambo ya wenzetu Kono la nyani yamekuwa mengi mtaani wakitambia usajili wao kuwa ni hatari tupu sasa ni Bora tuliweke hili vizuri na wazi zisije zikatafutwa sababu nyingine za kuwatoa watu mbuzi wa kafara.
Mangungu asije akaanza kuandamwa...
Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mvua, kupungua kwa vyanzo vya maji, mafuriko, kukauka kwa mabwawa etc ambavyo vyote hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.