kupambana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
  2. B

    Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia itaendelea kupima ardhi ili kupambana na migogoro ya ardhi

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITAENDELEA KUPIMA ARDHI ILI KUPAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kupima Ardhi kila sehemu Nchi nzima ili kupambana na migogoro ya...
  3. kindikinyer leborosier

    Ipo siku yako, endelea kupambana, mwisho wa kupambana ni pumzi yako inapoishia!!

    Salam! hapa jamvini tumekuwa tunapeana matukio yetu ya kila siku, mapenzi mahusiano, matatizo nk. . . leo nimeamka na hilinla kuwapa moyo wapambanaji wanaoelekea kukata tamaa na maisha haya, kuwa ipo siku yao, wanayoyapitia pengine ni funzo wanatakiwa walipate kwenye maisha!! . . ni sahihi...
  4. Lady Whistledown

    DRC yakataa ushiriki wa Rwanda katika kikosi cha kikanda cha kupambana na waasi nchini humo

    DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  5. Lycaon pictus

    Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  6. Z

    Kuelekea Siku ya Kimataifa ya kupambana na Dawa za Kulevya kama nchi tujitathmini

    Tunapo elekea kwenye kilele cha maadhimisho ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya ambapo kilele ni tarehe 1/7 na trh. 2/7, kama nchi tunapaswa tujitathimini hali yetu kama nchi, Je vita ya kupambana na madawa ya kulevya insaidia kupunguza au hali ni mbaya? Nini kifanyike ili kukomesha...
  7. Lady Whistledown

    Rais wa Afrika Kusini amsimamisha kazi Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Ufisadi nchini humo

    Wakili Busisiwe Mkhwebane anadaiwa kutawaliwa na shutuma za upendeleo wa kisiasa ambapo idadi kubwa ya uchunguzi wake toka ateuliwe mnamo 2016, umekataliwa na Mahakama, na hivyo kuzua maswali kuhusu kustahili kwake kushika wadhifa huo. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Rais Ramaphosa inasema...
  8. JanguKamaJangu

    Zelenskyy: Ukraine tunahitaji silaha zaidi kupambana na Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea eneo la mapambano Mji wa Kharkiv, Mei 28, 2022 na kuzungumza na...
  9. JanguKamaJangu

    #COVID19 Kim Jong Un ameamuru wanajeshi kupambana na Corona

    Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang. Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un ambaye ni Kiongozi wa Korea Kaskazini ikiwa ni siku chache baada ya maambukizi kuzidi kusambaa Nchini...
  10. Melubo Letema

    Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  11. micky 00

    Najitolea kupambana na "Panya Road"

    Nikiwa Kama Kijana Mzalendo Hapa Tanzania Nimeamua Kujitolea Kupambana na Hawa Vijana Wapuuzi Wanao Tishia Maisha Ya Watanzania Wenzangu Nimepitia Mafunzo Ya Ugambo mwaka 2001 nikajiunga Na jeshi Mwaka 2004. Mwaka 2011 nikapelekwa Somalia kupambana na Vikosi vya ugaidi Mwaka 2016 nikaingia...
  12. M

    Jummane Muliro hawajawahi kupambana na uharifu kwa akaudhibiti zaidi ya kutumia nguvu za kipolisi zisizo na tija. Alipokuwa Mwanza uhalifu alichemka

    Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina...
  13. BigTall

    Tanzania, Uingereza Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Watoto

    Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani. Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
  14. GENTAMYCINE

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni upo 'serious' kweli katika Kupambana na Ajali za Barabarani nchini Tanzania?

    Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya...
  15. GRAMAA

    Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

    Kuna mambo mengine yanafikilisha sana, kuna movement kibao zimeanzishwa ili kumpiga vita Ibilisi ila cha kushangaza Ibilisi huyo bado yupo na anadunda vizuri tu. Ukiangalia movement ambazo Mungu ameanzisha ili aweze kujitangaza na kumpiga vita Ibilisi ni nyingi sana ukilinganisha na zile ambazo...
  16. JanguKamaJangu

    Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Kenya yaondoa masharti yaliyowekwa kupambana na Corona

    Wizara ya Afya ya Kenya imeondoa agizo la ulazima wa nchi nzima kuvaa barakoa ikiwa ni mwongozo uliorekebishwa na kutolewa hii leo. Katika agizo hilo jipya, Kagwe amesema karantini ya lazima, na kutengwa kwa kesi zilizothibitishwa za Covid-19 kumesimamishwa mara moja, na kuongeza kuwa wagonjwa...
  18. Q

    ACT - Wazalendo badala ya kupambana kupanda, wanatamani CHADEMA ishuke ili wao waonekane juu

    Chadema haikufika hapo ilipo kwa kutamani NCCR, CUF zishuke zife ili wao wawe juu bali walipambana na CCM hadi wakafika walipo. ACT wakitegemea CCM iwapandishe juu kwa kuihujumu Chadema hawatafika popote. Lengo la CCM siyo kuipandisha ACT bali kuitumia ACT chini ya Zitto kuihujumu Chadema...
  19. econonist

    Pongezi kwa serikali kupambana na Cults

    Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali. 1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu. 2.Pili, serikali imeanza...
  20. kt the irreplaceable

    Tafakuri jadidi: Je, Urusi ametengwa na washirika wake? Ikiwa NATO ataingia Ukraine kupambana, Urusi ataweza kupambana peke yake?

    Ndugu zangu ikiwa bado kuna mgogoro ukiendelea kufukuta nchini Ukraine, tumeshuhudia vikwazo na matamko mazito kutoka kwa NATO members na European union kwa Urusi. Ikiwa nato ataamua kwenda field physically kupambana na majeshi ya urusi, je Urusi ataweza kupambana mwenyewe? Ikumbukwe Nato ni...
Back
Top Bottom