kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nchini wapo Watu wananunua vifurushi na wanatambua kupanda Kwa Bei, wapo wananunuliwa vifurushi lazima tuwepe Bei ya Jana na Leo waone tofauti.

    Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo...
  2. Watu wa Stationery tunaomba serikali ichunguze kupanda kwa bei za karatasi na vifaa vingine

    Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea. Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
  3. Hivi Dar kuna ghorofa/mnara mtu anaweza kulipia na kupanda ili kuangalia mji?

    Miji ya wenzetu utalii wa hivi ni mkubwa sana. Unakuta jengo moja linatembelewa na mamia hadi maelfu ya watu kwa siku. Vipia kwa Dar, kuna hiyo huduma? Vipi Mwanza na Arusha?
  4. Uchumi kupanda katikati ya matatizo ya wadau ni ukatili dhidi ya wanaokutegemea

    Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu. Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
  5. Hali ya Uchumi na kupanda kwa bei, Waziri Kijaji asema Bei za bidhaa za ndani ni himilivu. Waziri Mwigulu aahidi kupunguza bei mafuta ya kula na gari

    Mawaziri wawili wako ukumbi wa mikutano wa hazina, Dar es Salaam kubwa likiwa hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa. Yupo waziri wa uwekezaji, Dkt. Asha Kijaji na waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba. Zifuatazo ni nukuu muhimu Dkt. Kijaji: Niliagiza mamlaka zinazosimamia mwenendo wa soko la...
  6. Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

    Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae. Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote. Asanteni, naomba kuwasilisha
  7. Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  8. USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

    Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais...
  9. Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  10. T

    Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  11. EWURA: Bei ya Mafuta itaendelea kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya yake inatarajiwa kuendelea kupanda zaidi hali inayochangiwa na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine, huku usafirishaji na upokeaji wake nchini kuwa hafifu. Akizungumza Kaimu Mkurugenzi...
  12. Iringa: Marufuku watoto chini ya miaka 9 kupanda bodaboda

    Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Iringa, kimepiga marufuku watoto chini ya umri wa miaka tisa kupanda bodaboda. Mkuu wa Kitengo hicho, ASP Yusuph Kameta amesema ni kosa kisheria kwa mtoto chini ya umri huo kupanda bodaboda. Hata hivyo, wazazi na walezi wengi ndio wanaoongoza kuwapakia...
  13. B

    Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda?

    Wananchi tuna sababu ya kuwa na mashaka. Diesel na Petrol soko la dunia bei ikipanda serikali inapandisha bei, kwetu vilio. Kumbe hata tozo ya 100/- tuliyoaminishwa, haikuwahi kuondolewa. Hivi vipi kuhusu bei ya dhahabu tunayozalisha ambayo bei yake nayo imekuwa ikipanda mfululizo? Kwanini...
  14. Kupanda bei za bidhaa ni kaa la moto kwa wenye vipato vya chini

    Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza kuwa hata mara mbili ya bei ya awali uliyonunua kipindi cha mwisho. Jambo hili linafanya maisha kuwa...
  15. Kupanda kwa bei ya Chapati

  16. Kenya: Kupanda kwa bei ya viazi na mafuta kwasababisha migahawa kuondoa chipsi kwenye menyu

    Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao Mmiliki wa Chepchikoni amesema bei ya mafuta na viazi inasababisha apate hasara. Muuza chipsi mwingine anayetambuli kama...
  17. Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  18. Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  19. M

    Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

    Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana. Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
  20. F

    Kuhusu walimu kupanda madaraja kwa Mseleleko

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale mliyoafikiana na serikali. Hoja yangu ni hii CWT imesema serikali imeridhia kuwapa madaraja ya Mseleleko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…