kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  2. mgt software

    Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  3. Sky Eclat

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, wengi wameamua kutegemea usafiri wa baiskeli katika mizunguko. Barabara zetu ni salama kwa watumia baiskeli?

    Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B. Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
  4. N

    Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  5. Lady Whistledown

    Waziri wa Morocco ashinikizwa kujiuzulu kutokana na Kupanda kwa bei ya Mafuta

    Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika Licha ya Serikali kusisitiza kuwa inafanya kila iwezalo kupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na...
  6. Taifa Digital Forum

    Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

    Leo katika ziara yake Mkoani Mbeya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya Mafuta nchini.
  7. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  8. saidoo25

    Spika Tulia abebeshwa zigo la kashfa ya kupanda kwa bei ya mafuta ya Petroli Tanzania

    Hali ya mafuta ni mbaya ambapo leo watanzania wenzetu wa Kyerwa Ruberwa Mkoa wa Kagera wanauziwa mafuta ya Petroli kwa Tsh 3,647 kwa lita huku wale wa Ukerewe Mkoa Mwanza wakiuziwa lita moja kwa Tsh 3,619 kwa mujibu wa Tangazo la EWURA. Mjadala huu umeitikisa nchi tangu bei hiyo mpya itangazwe...
  9. Swahili AI

    Kupanda kwa gharama za maisha, wabunge mmetufikisha hapa!

    Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
  10. J

    Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

    Wakuu habari, Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia. Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
  11. adriz

    Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

    Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja. Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka. Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa...
  12. Stanboy

    Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  13. G

    Lake oil wanajuaje kupanda kwa bei ya mafuta kabla haijatangazwa?

    Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya kupanda kwa bei ya mafuta. Swali la kujiuliza wanajuaje mapema kuwa mafuta yatapanda bei? Huu mtandao...
  14. Gulio Tanzania

    Tunakabiliana vipi na Hali ya bidhaa kupanda bei?

    Jambo hili nimeanza kuliona mwisho wa mwezi huu kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na kwenye biashara yangu pia tayari zaidi ya 50% bidhaa nazojumua siku zote kwa sasa bei ni kubwa mno faida kiduchu mauzo nayo yamepungua Sana.
  15. Sky Eclat

    Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  16. B

    Kupanda kwa gharama za usafirishaji serikali haiwezi kukwepa lawama

    Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi. Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina Nyerere! Mwigulu kasikika akitangaza kodi zaidi kwa mabasi na malori. Pia kodi zaidi kwa diesel na...
  17. JanguKamaJangu

    Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  18. Internet-Money

    Intaneti imezidi kupanda Bei

    Jana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni. Hili balaa lilianza Baada ya huyu Rais kuingia madaraki. Kutokana na kusemwa sana akaanza...
  19. A

    Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
  20. Suley2019

    Akataliwa kupanda ndege kutokana na kuwa na matiti makubwa

    Mwanamitindo maarufu instagram kama @leavemaryalone amechukua headlines mara baada ya kulalamika kufanyiwa kitendo cha kutolewa na kushushwa kwenye usafiri wa ndege kutokana na ukubwa uliopitiliza wa maziwa yake yanayo kadiriwa kuwa na uzito wa kg 10. Mwanamitindo huyo Mary Magdalena'...
Back
Top Bottom