kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakenya kununua mazao yakiwa bado shambani na kupeleka Kenya sababu ya nafaka kupanda bei sokoni Tanzania

    Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa. Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado...
  2. Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

    Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Shabbiby wa Gairo Morogoro japo anatambulika zaidi Dodoma huenda kutokana na Gairo...
  3. Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

    Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game. KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI. NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
  4. Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

    Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000. Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha tuisome namba eeeehhh….
  5. Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  6. Siku ya Misitu Duniani - Musoma Vijijini Washerehekea kwa Kupanda Miti Mashuleni

    SIKU YA MISITU DUNIANI (THE INTERNATIONAL DAY OF FORESTS) - MUSOMA VIJIJINI WAISHEREHEKEA KWA KUPANDA MITI MASHULENI Leo (21.3.2024) ni siku ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kukumbushana umuhimu wa misitu ya aina zote. UN ilipitisha azimio la siku hii (tarehe 21 Machi ya kila mwaka) kwenye Mkutano...
  7. Leo nimejuta kupanda daladala

    Katikati ya safari si akapanda jamaa mmoja akawa anaongea kwenye simu na mwenzake. Namnukuu ( nukuu yangu ni baada ya jamaa kuongea kwenye simu kuhusu mada hiyo kwa kama dakika 20 hivi) " Basi bana yule binti wangu wa kufikia Naa ambae yupo form four mwaka huu akawa amepotea nyumbani. Siku...
  8. Mbunge Norah Mzeru Aongoza Wanawake Kupanda Miti Mvomero Katika Maadhimisho ya Wiki ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero. Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
  9. Bashungwa Aitaka TANROADS Kupanda na Kuhudumia Miti Katika Maeneo ya Barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  10. J

    Bashungwa aitaka TANROADS kupanda na kuhudumia miti katika maeneo ya barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  11. K

    Kupanda kwa gharama ya maisha

    Pamoja na agenda hii kuwa katika sharti mojawapo ya maandamano ya CHADEMA ni vema Serikali ikawafikiria wananchi juu ya kutatua tatizo hili. Wananchi wanapitia maisha magumu ikiwa ni pamoja ukosefu wa umeme, bei ya mafuta, gharama ya usafiri, bei ya sukari, nyama, samaki na bidhaa nyingi...
  12. Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  13. Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  14. F

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
  15. K

    Kupanda kwa gharama ya maisha

    Jana nilimuona Jamaa mmoja akishauri nini cha kufanya kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha. Hoja yake ambayo mimi naiita hoja nyepesi alishauri wananchi kuwa kwa kuwa sasa nchi inapata mvua basi ni wakati muafaka watu kujikita kwenye kilimo ili kuepukana na gharama ya kupanda kwa maisha...
  16. Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa hizo. Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za...
  17. Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Wanaohusika na kuanzisha root za daladala watufikirie , maana nauli imepanda na tunalazimika kulipa nauli mbili kwa safari fupi kabisa.
  18. Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

    1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi. Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei? 2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi...
  19. W

    Huenda Kuna watu wanapanga kumwangusha Rais Samia na CCM yake kwani baada ya nauli kupanda kwa 43% sasa gharama za kumwona daktari zapanda kwa 400%

    Haraka kwenye mada, mambo ni mengi, Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo, Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno, Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
  20. Wakati wa kupanda miti kwenye milima ni huu ambapo mvua zinanyesha

    Baada ya janga lililotokea Hanang inaelekea tumelichukulia kuwa limekwisha, ninapenda kuwashauri viongozi wote nchini kuwa vilima byote ambako mvua zinanyesha huu ndio wakati wa kupanda miti. Viongozi wetu wamekuwa na mtindo wa kiweka siku ya kupanda miti hasa wakati hakuna mvua na matokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…