Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua.
Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo.
Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli.
Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
Nakumbuka namna ambavyo kampeni ya upandaji miti ilivyokuwa na mwitikio mkubwa miaka ya nyuma kidogo hasa mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Kampeni Ile ni Kama ilizimika au imepungua Sana Ile nguvu yake, msingi wa hoja ya kuishadidia kampeni hii ni uhalisia wa hali ya...
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---
Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari.
Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
Niende kwenye hoja Moja Kwa moja.
Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi.
Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
Rais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana.
Inafahamika kuwa wadau wa michezo ni wengi sana hivyo wasingetosha wote kupanda ndege ya Mama kwenda Algeria.
Swali langu ni vigezo...
Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata.
Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
Habari Wakuu!
Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga.
Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt.
Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
Wakenya wanatarajiwa kuongezewa bei ya mafuta kwa zaidi ya Ksh.10 iwapo Muswada wa Fedha ya 2023 utapata idhini kutoka bungeni.
Muswada huo ambao sasa uko mbele ya Kamati ya Fedha na Mpango wa Kitaifa inataka kubadilisha uamuzi uliofanywa mwaka wa 2018, ambapo VAT kwa mafuta ilipunguzwa hadi 8%...
Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba.
Nilichokiona leo na ambacho...
Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015.
Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso.
Ukiongea unaambiwa...
Ilikua hivi 👇
1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days.
sasa ni 👇
MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/=
Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
Ila kwa...
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka
TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.
Ushauri please
Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa.
Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na huwa sishangai tukifungwa, hata kama tukiweza kubahatisha kwenda AFCON tutaenda kufungwa nyingi na...
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji.
Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
Kwa hiyo ni kusema...
Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini :-
1. Athari za janga la Uviko-19
2. Athari za vita ya Ukraine
3. Mabadiliko ya tabia nchi
4. Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kupanda kwa gharama za maisha imesababishwa na kupanda kwa mfumuko wa bei duniani na ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.