Wataalam wa uchumi Tanzania wametoa angalizo kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, wakitahadharisha kuwa kutasababisha kupanda kwa gharama za maisha.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) ilitangaza bei kikomo ya petroli, dizeli na...