Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama.
Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na
Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea kuzipenda yani muda huo!
Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula.
Kodi TZS 750,000 kwa mwezi.
Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.
Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco, Mkuyuni, Bwiru, Nyegezi, Mkolani.
Kisiwe mbali na stendi ya daladala za kwenda mjini, kama unacho au...
Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi.
Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.