Wakuu walahi mtu unaweza tamani upate walau pesa ya shortcut ili uweze kununua au kujenga banda lako mwenyewe ka kujiegesha ili kuepukana na changamoto za nyumba za kupanga
Mafano Mimi nimepanga nyumba moja hivi, gharama yake kwa mwezi sio kubwa ni kawaida. Nikaamua niwe muungwana nikamwambia...
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia.
Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza.
Nyumba isiwe mbali sana na main roads/kituo cha daladala
Tuwasiliane: +255676095799
Mabibi na Mabwana mtu kuutaka Urais ni kwa sababu ana agenda. Ana agenda ya kufanya. Hiyo ndiyo tunapaswa kuisikia na hiyo ndiyo anayopaswa kutushawishi nayo.
Mtu anapewa vipi mamlaka na kisha kujinasibu kuwa hakutaka, hakujua, hakupanga wala hakutegemea?
Tunamchagua vipi mtu huyu...
Habari wakuu,
poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu samahani, natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya ilala au Tabata.
Budget line ni kuanzia 30,000 mpaka 70,000 kwa mwezi.
Payment iwe kila baada ya miezi 3.
Ninashangaa mno kuwa mpaka sa ivi tuna watu wenye uwezo wa kudukua mawasiliano ya watu ila amna mwenye wazo zuri laku rahisisha watanzania wote kupiga kura.
Yani kwa jinsi bus la teleology linavyo kwenda kasi basi watu pia tunatakiwa tuendane na iyo kasi japo kwa maendeleo tu.
Naomba ushaguzi...
Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu..
Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta maendeleo ya watu.
Juzi watanzania ndugu zetu walikwama India kwa sababu ya covid 19.
Tukatumia...
Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda kucheza na Yanga Dar, Simba itaenda kucheza na Mbeya city Mbeya baada itaenda kucheza na Namungo...
Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa.
Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza...
Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Gypsys Rose Blanchard alikuwa akiishi na mama yake aliyejulikana kama Dee Dee Blanchard, ambaye alikuwa akidai ya kwamba Gypsy alikuwa na matatizo ya kiafya ambayo yameathiri ukuaji wake. Watu wote kuanzia madaktari, familia na jamii kwa ujumla walikuwa wanaamini madai haya, ila ukweli ni kwamba...
Ninawasalimieni.
Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo:
1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/=
2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake.
3. Mahali-:Area A, Area C, Area D, Makole, Meriwa.
Yuke yuko na access na hiyo kitu, karibu inbox!
Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji.
Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya...
Wananchi ni lazima tujue kwamba katiba ya JMT ndio inayobariki ushindi wa CCM.
Na kiukweli ukiangalia maeneo ambayo upinzani huwa unashinda mara nyingi inakuwa ni ulegelege wa mkurugenzi ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi au huruma tu ya CCM yenyewe.
Ni wale wananchi wapenda mageuzi mkaendelea...
Wasalaam wakuu,
Leo naomba nishee kisa changu kipindi nikiwa chuo,nilipoingia chuo mwaka wa kwanza nilienda kukaa hostel sasa maisha ya hostel sikuyafurahia,nilikaa semester moja pekee,wakati wa likizo nikawahi kwenda chuo ili nisisumbuke kupata chumba cha kupanga,niliamua kutafuta chumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.