Habari
Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro.
Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo
Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara.
Budget ni 100k
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha.
Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
Habari,
Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo
Chumba self cha nje napendelea zaidi
Nyumba iwe ya kisasa (Presentable)
Maji umeme na huduma zingine za muhimu
usalama fence
Waziri Lukuvi. Sisi wapangaji tunakupa kongole nyingi sana kwa tamko lako la hivi majuzi,, sambamba na hilo bado umeacha ombwe la uwepo wa madalali kitu ambacho sisi hatujaona umuhimu wake ..
Serikali sikivu yenye viongoz sikivu tungeishauri haya yafuatayo kuondoa kero hiyo ya watu wanaitwa...
Salaam, nyumba ya kupanga inatafutwa Mkuhungu Dodoma:
1. Bei 250,000
2. Uwezo wa kulipa mwezi 1_ mitatu
3. Iwe karibu na maeneo ya shule za Tumaini, St Home au Chemchem
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku.
2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni.
3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana.
Nirudi kwenye mada kesi yangu, kwa life la hapa bongo kama Mwanaume una chumba na sebule masta...
Nawaza kutafuta na kupanga katika apartment ya NHC iliyo katika standard nzuri ingawa iwe katika gharama za kawaida. Ningependelea iwe wilaya ya Kinondoni.
Embu tufahamishane taratibu ni zipi kufanikisha hilo?
Na pia kuna watu wanaweza kushare uzoefu wao katika huduma na ubora unaopatikana...
Ukikutana Na mdada Ukachukua namba yake, mkafahamiana kidogo, huna haja ya kumpeleka kwenye migahawa ghali, au kumlipia nauli, vocha, au kumpa pesa alizokuomba.
Wewe mueleze sehemu unapokaa, Na mda utakaokuwa free, Jibu pekee utakalotakiwa ulikubali, ni yeye kuja ghetto kwako, aje umvue nguo...
Ni ukweli usio na shaka mahali popote duniani kuwa miji na matumizi ya maeneo katika miji hupangwa. Mipango miji ni TAALUMA na inasomewa.
NI ukweli pia usiopingika kuwa kuwa MAZINGIRA ni taaluma, inasomewa pia BIASHARA ni taaluma .
Katika manispaa na miji wataalamu hawa wameajiriwa ili...
Habari za saa hizi Ndg zangu! Polen na majukumu,
Samahani Sana Tena naombeni ushauri tu kwa anayeweza kunishauri.
Nlipanga nyumba mwaka Jana mwezi wa 11 nikalipa kod ya miez 2 Mana niliomba nilipe hivyo ilipofika January mambo yakawa mabaya Maana nategemea utalii Corona imekuwa janga sijpata...
Ole kwao ambao wananchi hawa maskini waliwapa dhamana ya kuwaongoza wakitegemea kuboreshewa maisha na kinyume chake wanawatesa kupitia kodi na tozo zisizo na maana.
Ole wao kwa kuwa tunajua hizi zote ni lengo lao la kujilimbikizia mali zaidi na utajiri kwa ajili yao na familia zao.
Ole wao...
Habari zenu.
Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii.
Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji.
Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea yanastaajabisha sana,yalipigiwa sana kelele huko kabla, yanakuharibia sio kidogo na kadri muda unavyozidi kwenda yanazidi kukuharibia.
Ushauri unapata kutoka sehemu mbalimbali, kuna wanaokupa kukusaidia na wanaokupa kukuharibia japo inaweza kuonekana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.