Wakuu salamu.
Naomba niende kwenye point moja kwa moja.
Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga.
Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
Ahlan
Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI
Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga.
Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko.
Kuna watu walishazoea yale maisha ya...
JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
Maendeleo ya nchi yanapimwa kutokana na wingi wa changamoto zinazoikabili jamii ya nchi husika. Zile ambazo zimeendelea wananchi wake wananchi wake wanakuwa na changamoto chache zinazowakabili, wakati zile ambazo hazijaendelea watu wake wanakuwa na changamoto lukuki.
Je, Mungu aliwapendelea...
ENZI ZETU
Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati.
Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend .
Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
Watu wengi hupenda kununua vitu vya thamani na kuishi navyo kwenye nyumba za kupanga (nyumba za wanaume wenzao, waliojinyima na kuweka mijengo).
Kufanya hivyo, kunawafanya watu wengi kuishi muda mrefu kwenye nyumba za kupanga, na kusahau kujenga nyumba zao.
Utakuta mtu ana kipato kizuri...
Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao.
Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira.
Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
Habari wana JF,
Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze.
Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio?
Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi...
Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka.
Sifa:
1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana)
2. Hali nzuri
3. Usalama/fence
4. Inafikika bila changamoto
5. Parking ya gari 2 na kuendelea
Mawasiliano piga 0769746211
Isiwe na dalali
Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe.
Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
PRICE ELASTICITY OF DEMAND
Hapa tunaongelea jinsi gani ambavyo bei ya bidhaa inaweza athiri uhitaji wa hio bidhaa (demand).
Inaeleza jinsi tabia ya mteja inavyobadilka kulingana na bei ya bidhaa.
Kwenye sheria ya demand inasema kwamba bei inavyoongezeka basi ni lazima demand ya kitu ipungue...
Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira.
Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo:
1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained.
2. Kuwe na sebule
3. Public toilet ndani
4...
Natafuta chumba sebure na jiko kea 100000 hata ukiwa chumba na sebure iwe katika mazingira mazuri Kodi miezi mitatu iwe maeneo ya makumbusho,kinondoni,namanga,hata mwenge sio mbaya
Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.
Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.
Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi.
Nb; Nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.