Kwa mtu yoyote anayeielewa mitaa ya makuburi na External aniambie mtaa mzuri ninaoweza kupata nyumba nzuri ya kupanga... average standard, sina familia.
Mitaa ambayo nitapata usafiri kirahisi.
Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana na mwelekeo wa Viongozi Wakuu wa Nchi, Mipango...
habari za leo I hope nyoote hamjambo.
wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha yako kindaki ndaki?
iko hivi mimi ni kijana na nina miaka 26, na nina mke japo hatujapata mtoto na...
Salaam....
Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.
Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.
Wewe ni Graduate au...
Kupanga bei za mazao ni mchakato wa kuamua au kuweka thamani ya jumla ambayo wauzaji na wanunuzi wanakubaliana kwa ajili ya mauzo ya mazao fulani.
Kupanga bei za mazao inaweza kufanywa na pande tofauti, kama vile serikali, vyama vya wakulima, vyama vya ushirika, au wafanyabiashara wengine...
Kwema Wakuu,
Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji.
Mpangaji
Aina ya nyumba: Appartment / stand alone...
Hello wadau'
Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo.
Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide.
Natafuta master room
Tiles, gypsum all that
Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara
Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi.
Bajeti: kisizidi laki
offcourse ni vizuri kijana unamkuta kapanga apartment yake ama self contained, ana usafiri wake, biashara ama kazi inamlipa fresh, ana mke na watoto wawili tayari, n. k lakini kipengere kinakuwa kwamba sehemu anayoishi ni ya malipo kwa kila mwezi bado hana pake.
Jenga kwako hata kama ni nyumba...
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia? Inatisha
Wadau salaam,
Natafuta nyumba/chumba ya kupanga maeneo ya Namanga, Ada Estate na maeneo ya karibu na hapo. Nahitaji nyumba ndogo hasa chumba/master room (self-contained) yenye jiko.
Naomba niinbox kama unayo au unataarifa.
Msaada jamani,
Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka.
Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu.
HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa.
Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.
Habari wakuu,
Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa.
Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile...
Habari ya maandilizi ya sikukuu,
Kuna hii tabia ya mabinti tena wadogo kwenye early 20s wakipata tu vikazi hata iwe saluni au mgahawani wanakimbilia kupanga ili wajitegemee.
Kusema kweli hii imekuwa kero kwa sie hasa wa maofisini, hawa mabinti wanaojitegemea ni kama wanageuka omba omba, hapa...
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?
Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili...
Habari Wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.
~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.
~ Bajeti laki 5 (500,000).
~ Iwe maeneo tulivu
Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.
Najua...
Habari zenu
Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab
Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.