Hello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga
Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo.
Je, madalali wa Dar wanasomeka?
Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme.
Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia.
Kiwe single au chumba na sebule bado kinafaa njoo na offer yako hapa hapa madalali kaeni...
Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo.
Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi...
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo.
Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor.
Hongera Professor Mkumbo
====================
====================
CV ya Proff. Kitila Mkumbo...
Habari za usiku huu ndugu watanzania?
Moja kwa moja niende kwenye mada iliyonifanya nifikirie kushare mawazo yangu.
Wakazi wa dar,hasa sisi wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga huwa tunahaha sana msimu wa mvua ukianza. Hapa nazungumzia kuanzia mwezi wa 12 mpaka mwezi wa...
Habari Wakuu,
Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani.
Piga 0713 039 875.
Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri.
Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Essex na Chuo Kikuu cha Adelaide nchini Australia umebainisha kuwa kukodi nyumba kutoka kwa mtu kibinafsi au kampuni binafsi kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka kwa asilimia 100 kulinganisha na wanaomiliki nyumba zao wenyewe.
Njia hili imeonekana...
Kitu kilchotokea Israel ni kibaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.Na yote ni kutokana na siasa za ubabe wa Benjamin Netanyahu.
Siasa zake hizo imekuwa sababu ya kuwakasirisha zaidi wapalestina ambao sasa wameamua kujitoa muhanga kupambana badala ya kulia lia na kuomba kuhurumiwa.
Wananchi...
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24.
CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
Habari wakuu,
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo;
1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam
2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside
2. Iwe na chumba kimoja master na sebure
3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium
Nipo tayari kwa bei yoyote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.