Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.
Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi...
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa mbele
Watanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe...
📖Mhadhara (63)✍️
Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero.
🔘 KERO 1:
Kuna mpangaji ambaye akiingia bafuni kuoga, akitoka lazima bafuni mkute mabaki ya dawa za kienyeji. Kila...
Hapo vip!
kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine.
Nikaanza...
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema.
Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika harakati za kutafuta nyumba, kuna vitu nimejifunza na vingine nimeshachelewa nimejikuta najuta tayari niko...
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).
Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo...
Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence.
Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho)
Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea).
Ukonga - Magereza, Madafu, KM...
Habari,
Tanga kunani palee
Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo.
Chumba kiwe na choo ndani
Bajeti yangu 70k kushuka chini.
Msaada nina rafiki yangu anatafuta nyumba au apartment ya kupangaisha yenye swimming pool Dar; Any recommendation? maeneo ya Mbezi beach kuelekea Bagamoyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.