kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  2. Rabonn

    Nahitaji office space kwa ajili ya kupanga

    Habar za siku nyingi wakuu. Kama title ya uzi ilivyo. Nahitaji space ya kupanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Eneo pendekezwa ni kama: Temeke Kigamboni (around kibada mpaka Kongowe) Kurasini/uhasibu Tazara. Bajeti ni 100k - 150k kwa mwezi. Natanguliza shukrani zangu za dhat kabisaa...
  3. M

    Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
  4. Mkalukungone mwamba

    Vipi huko kwenye nyumba za kupanga hivi ratiba za usafi zinafuatwa?

    Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
  5. Aventus

    Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

    Wakuu kwema? Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika. Mkinipa na connection itapendeza zaidi
  6. Mjukuu wa kigogo

    Kupanga ni kuchagua, msinipangie maisha

    Nipo tu naenjoy bonge la flat screen
  7. Mjukuu wa kigogo

    Visa na mikasa kwenye nyumba za kupanga

    Yaani hapo upo single halafu wapangaji wengine waliobaki wameoa. Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?
  8. Mkalukungone mwamba

    Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

    Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
  9. A

    Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
  10. aBuwash

    Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  11. Ghost MVP

    Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
  12. M

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  13. Sasso

    Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
  15. Baba Tarabushi

    Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

    Habari za wandugu! Naombeni msaada wakuu. Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza) Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  16. M

    Chumba cha kupanga kinaitajika

    NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
  17. JOVITUS KAMUGISHA

    Kupanga ni kuchagua, kuchagua ni kupanga

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote nimekuwa nikichanganya katika kutanabaisha usemi upi sahihi. Na akanijibu- yote ni sahihi kwa maana...
  18. Mjanja M1

    Haji Manara anaishi kwenye nyumba ya kupanga, asema yeye sio tajiri

    Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha. Haji Manara alijibu, "Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
  19. Lexus SUV

    House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  20. Nrangoo

    Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
Back
Top Bottom