kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zombie S2KIZZY

    Natafuta chumba Cha kupanga

    Natafuta chumba Cha kupanga maeneo ya boko basihaya, chasimba, tegeta dawasco na maeneo ya karibu na hapo. Nataka Cha 40k au 50k
  2. King Jody

    Kero gani umewahi kukutana nazo kwenye nyumba za kupanga?

    Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015. Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso. Ukiongea unaambiwa...
  3. kavulata

    Kocha wa Taifa stars alishinikizwa kupanga kikosi?

    Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile? Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye kikosi na nani kwasababu zipi? Kikosi kilichocheza kule Misri kilikuwa na madhaifu gani yaliyowahitaji...
  4. Metadata

    Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

    Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
  5. S

    Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu. Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu. Muda...
  6. GIRITA

    TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
  7. M

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  8. B

    Hongera NECTA kwa kuondoa kupanga shule zilizoongoza

    Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya ufaulu Hii hatua SERIKALI naipongeza sana wizi wa mitihani kwa udanganyifu utaisha Sasa watoto watapata...
  9. B

    Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  10. Makonde plateu

    Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

    Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
  11. Tajiri wa kusini

    Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

    Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them. Ili...
  12. A

    Wanatetea elimu kwa wanyonge au wanataka urefu wa kamba uongezeke?

    Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu. Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo. Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia Scholarships" na kuweka vigezo ambavyo Zaidi ya Asilimia 90 ya wanufaika ni Watoto Wa wenye Uwezo...
  13. Sir robby

    Kujenga na kupanga ni vitu viwili tofauti, ACT Wazalendo mmewaaibisha wanachama wenu

    Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA nyumba ya Mtu. Kama kwenye Jambo Dogo kama hili la Jengo wanadaganya Je Wakipewa Nchi Watadanganya...
  14. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  15. B

    Vyumba vya kupanga Kigoma, Kibondo ni bei gani?

    Habar wakuu! Nauliza wastani wa bei za vyumba maeneno ya kibondo mjini mkoani kigoma. Asante
  16. NetMaster

    Kero za nyumba za kupanga: Wamama wanaoshinda vibarazani/ makoridoni kwenye mikeka wanakosesha amani wapangaji wengine

    Jamani nyumba za kupanga zina shida sana. Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbani kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
  17. sanalii

    Kwa mliowahi kupanga chumba, ushawahi kunatana na mpangaji mwenza mwenye kiburi?

    Harakati za hela ya umeme nyumba za kupanga zenye kushare Luku. Few years ago, nilipanga chumba, wapangaji tulikua wawili na mtoto wa mwenye nyumba, kwakua mtoto wa mwenye nyumba alikua anatatizo la akili, tulimtoa katika kuchangia umeme, pia hakua na matumizi makubwa. Mwanzoni mambo yakawa...
  18. Dodoma messengers

    Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  19. Roving Journalist

    Serikali kupanga mikakati ya kuendeleza sekta ya sheria nchini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupanga mikakati ya kuendeleza Sekta ya Sheria nchini kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Hayo yameelezwa na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende wakati akitoa salamu kwenye kikao kazi cha Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya Sheria...
  20. torvic

    kinahitajika chumba cha kupanga

    Habari, kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
Back
Top Bottom