Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco, Mkuyuni, Bwiru, Nyegezi, Mkolani.
Kisiwe mbali na stendi ya daladala za kwenda mjini, kama unacho au...