Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.
Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...