Nape: Ukiachwa na basi usilalamike inawezekana linaenda kupata ajali

Nape: Ukiachwa na basi usilalamike inawezekana linaenda kupata ajali

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Jiwe gizani wenye akili wameelewa.

CCM inaenda kupata ajali?

HOLBqdsWoAAcZm_.jpeg
 
Ameanza tena mara oooh Mungu ameamua ugomvi, sasa hivi tena ukiachwa na basi, kwani kuna ajali yoyote mbele?

Yaani CCM unaweza ukatumika kwa nguvu na kwa ajili yako yote mwisho wa siku ni bora umfadhili mbuzi utakunywa supu sio CCM ukikumbuka enzi za Nape usingeweza kudhani leo ataanza kuimba taarabu
 
Jamani huyu MTU yupo jikoni anajua kinachoendelea,ukiona kauli kama hizi zimeanza tujiandae Tu na MSIBA WA kitaifa
 
Huyu ni timu IMMA..
Ukiona ngonjera zimeanza namna hii basi ujuwe kuna Moto mkali Huko ndani
kile chama huwa kina mambo ya kushangaza sana kinapokaribia uchaguzi wa kumpata mpeperusha bendera wao mpya kunako uchaguzi mkuu. Vikundi na timu nyingi huibuka na kuanza kushadidia watia nia wao wenye nguvu, achana na wale wasindikizaji. Timu ima iko vizuri ila iangalie sana isije ikaangukia pua kama timu lowassa ya kipindi kile. Timu iliyowahi kushinda ni timu kikwete tu ambayo haikufyekelewa mbali wakati ilijulikana mapema sana
 
Back
Top Bottom