Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Pesa alikua nayo tangu mtoto, anachohitaji ni madaraka.Binadamu kweli haridhiki, huyu jamaa pesa tayari anayo anataka nini tena?
Pesa ni shida zenu.
Pesa alikua nayo tangu mtoto, anachohitaji ni madaraka.Binadamu kweli haridhiki, huyu jamaa pesa tayari anayo anataka nini tena?
Hakuna kitu ,,,Nape hana ushawishi wowote CCM alikua nabebwa na historia ya Baba yake tu.Jamani huyu MTU yupo jikoni anajua kinachoendelea,ukiona kauli kama hizi zimeanza tujiandae Tu na MSIBA WA kitaifa
Tetesi zinasema kabla ya kuomba msamaha aliwekwa lokapu kwanza akili ikae sawa na kutolewa wenge.Alitembea kwa miguu kwenda kwa joni kuomba msamaha naona anataka arudie tena. Huyu kijana ni jeuri sana akiwa mamlakani kama ccm wenzake