Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Maigizo ya ccm
Uteuzi wa nini wakati kuna ajali ipo njiani.Hapo itakuwa kama kajipaka 'kimba' asahau kabisa kuhusu uteuzi, anaweza kupoteza hata hicho kidogo msimu ujao wa 2030.
kile chama huwa kina mambo ya kushangaza sana kinapokaribia uchaguzi wa kumpata mpeperusha bendera wao mpya kunako uchaguzi mkuu. Vikundi na timu nyingi huibuka na kuanza kushadidia watia nia wao wenye nguvu, achana na wale wasindikizaji. Timu ima iko vizuri ila iangalie sana isije ikaangukia pua kama timu lowassa ya kipindi kile. Timu iliyowahi kushinda ni timu kikwete tu ambayo haikufyekelewa mbali wakati ilijulikana mapema sana
Nape ni MTU asiweza kutunza siri sikuzote anajulikana kwenye eneo Hilo.kile chama huwa kina mambo ya kushangaza sana kinapokaribia uchaguzi wa kumpata mpeperusha bendera wao mpya kunako uchaguzi mkuu. Vikundi na timu nyingi huibuka na kuanza kushadidia watia nia wao wenye nguvu, achana na wale wasindikizaji. Timu ima iko vizuri ila iangalie sana isije ikaangukia pua kama timu lowassa ya kipindi kile. Timu iliyowahi kushinda ni timu kikwete tu ambayo haikufyekelewa mbali wakati ilijulikana mapema sana
Ngoja tusubiriJamani huyu MTU yupo jikoni anajua kinachoendelea,ukiona kauli kama hizi zimeanza tujiandae Tu na MSIBA WA kitaifa
na kwa utaratibu ule wa chama chao kuachiana zamu kiimani, zamu ijayo ni ya kina ima, sasa kama kikwete yupo kwa ima imeisha hiyo!Nape ni MTU asiweza kutunza siri sikuzote anajulikana kwenye eneo Hilo.
Mwamuzi wa mwisho wa mpambano huu ni kikwete kama huyu Mzee yupo timu IMMA basi kazi imeisha mapema Huko ndani....Acha tusubiri tuone itakuaje
Maumivu ya ndaniMmmmh !
Karma ?!
Hapo ndo inakuwa ngumu kumuamini,ingekuwa amepevuka kiakili tungemwamini japo kidogoShida huyu jamaa akili pia ni kisoda, kama Bashite tuu. Akiwekwa pembeni huwa anapata wenge.
Ni kama kilikuwa kinasubiriwa kipenga kimoja tu kazi ianze. Anyway ukitaka kujua wadudu wote waliopo chini ya kichuguu, kimwagie mafuta ya taa.Nchimbi kakata utepe kwa waimba taarab kujimwayamwaya ukumbini.😀
Msimulishe maneno kiongozi wetu mstaaf
Nape
Alitembea kwa miguu kwenda kwa joni kuomba msamaha naona anataka arudie tena. Huyu kijana ni jeuri sana akiwa mamlakani kama ccm wenzakeShida huyu jamaa akili pia ni kisoda, kama Bashite tuu. Akiwekwa pembeni huwa anapata wenge.