Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia..
Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina.
Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
Salaam wana MMU
Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.
Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
Rafiki yangu mpendwa,
Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya?
Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
Wanabodi,
Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘
Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni.
Thank youuu😘
TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO
Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?
Habari wanajukwaa
Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu
Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo.
Nawasilisha.
YAH: TAARIFA KWA UMMA.
Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo.
Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na:
Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu.
Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100.
FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.