KUPATWA KWA JUA TAREHE 21
Katika siku za hivi karibuni turishudia tukio la blood moon, mwezi kuwa kama damu ambali kitaalam linaitwa kupatwa kwa mwezi.
Sasa kuna tukio lengine la kupatwa kwa jua, hili tunaweza kuliita kama black star au jua kuwa jeusi kutokana na kuzibwa na mwezi...