Baada ya kupatwa kwa mwezi sasa kupatwa kwa jua kutatokea 21 Septemba 2025

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
KUPATWA KWA JUA TAREHE 21

Katika siku za hivi karibuni turishudia tukio la blood moon, mwezi kuwa kama damu ambali kitaalam linaitwa kupatwa kwa mwezi.

FB_IMG_17572670171035309.jpg

Sasa kuna tukio lengine la kupatwa kwa jua, hili tunaweza kuliita kama black star au jua kuwa jeusi kutokana na kuzibwa na mwezi

20250919_215158.jpg

MATUKIO HAYA KIIMANI

Hata hivyo matukio kama haya yalitabiriwa kutokea katika siku za mwisho kwenye upande wa kidini, ambapo ilitabiri vitu vingi sana.

Miongoni mwa tabiri hizo ni mwezi kuwa kama damu na jua kutokutoa mwanga wake kuwa kam singa kabla haijaja siku ya mwisho wa dunia.

Je, swali la kujiuliza mwisho wa dunia umefika ?

Marko 13:22-31
22 kwa maana wataondoka Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, watatoa ishara na maajabu, wapate kuwadanganya, kama yamkini, hata hao wateule.

23 Bali ninyi jihadharini; nimekwisha kuwaonya yote mbele.

24 Lakini siku zile, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hatautoa mwanga wake.

25 na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.

26 Hapo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu.

27 Ndipo atakapowatuma malaika na kuwakusanya wateule wake toka pepo nne, toka upande wa mwisho wa nchi hata upande wa mwisho wa mbingu.

28 Kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake liishapo kuwa laini, na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno ni karibu;

29 nanyi kadhalika, myaonapo mambo hayo yanaanza, tambueni ya kuwa yu karibu milangoni.

30 Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie.

31 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

JE, MWENYE DUNIA YAKE ATATOLEA HIVI KARIBUNI AU BADO ?
 
unyakuo umekalibia, iko wazi,
sasa watakao baki wataiona show ya kupokea chapa ya Mpinga Kristo,

Hakuna kuuza wala kununua bila chip ya Elon Musk 😂😂😂😆 round hii ya pili kutoboa ni kisanga

Sie wengine tutakua tunasubili Yerusalemu Mpya ishushwe

Ufunuo wa Yohana 21:1-3
1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.

2 Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.

3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
 
Hayo yote tayari yamekwish kuwako unafikiri elon musk anaweza kushinikiza mataifa yafuate kauli zake ? huu ni upotoshaji mkuu

imeandikwa
Hakuna mamlaka atakayoachiwa mtu yoyote baada ya ufalme wa nne, mamlaka na ufalme watapewa watu watakatifu. hivyo madai ya elon musk kutawala dunia ni upotoshaji na uongo.
 
Umejiandaaje kukaa motoni milele?
 
ya
Hayo yote tayari yamekwish kuwako unafikiri elon musk anaweza kushinikiza mataifa yafuate kauli zake ? huu ni upotoshaji mkuu

imeandikwa
Hakuna mamlaka atakayoachiwa mtu yoyote baada ya ufalme wa nne, mamlaka na ufalme watapewa watu watakatifu. hivyo madai ya elon musk kutawala dunia ni upotoshaji na uongo.
yapi hayo yametokea tayari ???

Kuna unyakua..
Na kuna Kurudi kwa Yesu...

Ufunuo wa Yohana 19:19-21
19 Kisha nikamwona huyo mnyama, na wafalme wa nchi, na majeshi yao, wamekutana kufanya vita na yeye aketiye juu ya farasi yule, tena na majeshi yake.

20 Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;

21 na wale waliosalia waliuawa kwa upanga wake yeye aliyeketi juu ya yule farasi, upanga utokao katika kinywa chake. Na ndege wote wakashiba kwa nyama zao.

Baada ya Utawala wa Yesu miaka Elfu 1000 unajua nini kinafatata ..?
 
Umenijia na habari sijui za cheap ya elon musk Sifikirii kama unakijua unacho kiongea au unaufahamu na hilo fungu hivyo sita kujibu kitu mpaka hapo.
 
Mimi siachwi nakwambia kwenye unyakuo nimooo
Mkuu mimi sistahili unyakuo huo ninashudia na ninaona dhambi ni nini ? ninaona dhambi inavyowatesa watanzania kwa kuminywa haki zao, ole wangu mimi niliyekulia katika nchi yenye watu wachafu nikanyage maeneo matakitifu na maskani ya mungu sipo tayari kuchafua maskani ya mungu.
 
Ikulu ijapokua ni nyekundu kwa damu itasafishwa na kuwa nyeupe kama theruji amini hili ndilo neno la Bwana. na halita kawia.
 
Andika kitaalamu , kisayansi hayo maandiko ya kwenye biblia yanatuhusu nini?

Galileo alifungwa kifungo cha nyumbani na kanisa katoliki kisa tu alisema jua linazunguka dunia... jamaa alishafanya taratibu na majaribio ya kisayansi akajua kanisa katoliki wanaongopea na wao waliamini biblia ilivyosema...

Sasa kupatwa kwa jua tena mnaanza kutuandikia maandiko yale yale ambayo si ya kisayansi yenye uongo mwingi kwa sababu hakuna saysni.....

Hilo ni suala la kisayansi si mambo ya imani...
Saysni ni sayansi na imani ni imani.. jua kutenganisha..
 
Back
Top Bottom