Baada ya kupatwa kwa mwezi sasa kupatwa kwa jua kutatokea 21 Septemba 2025

Baada ya kupatwa kwa mwezi sasa kupatwa kwa jua kutatokea 21 Septemba 2025

Kupatwa kwa jua au kupatwa kwa mwezi,imeshatokea mara nyingi tu toka kuumbwa kwa Dunia,

Sasa iweje wewe utafsiri kua ndio mwisho wa Dunia utafikiri vile hili tukio ndio mara ya kwanza kutokea?
 
Kupatwa kwa jua au kupatwa kwa mwezi,imeshatokea mara nyingi tu toka kuumbwa kwa Dunia,

Sasa iweje wewe utafsiri kua ndio mwisho wa Dunia utafikiri vile hili tukio ndio mara ya kwanza kutokea?
Elimu mkuu ni tatizo, nashangaa mtu anashindwa kuelewa mambo kama haya SI mra ya kwanza kutokea na ukute ni mtu mzima kabisa unamheshimu🤣
 
Hayo yote tayari yamekwish kuwako unafikiri elon musk anaweza kushinikiza mataifa yafuate kauli zake ? huu ni upotoshaji mkuu

imeandikwa
Hakuna mamlaka atakayoachiwa mtu yoyote baada ya ufalme wa nne, mamlaka na ufalme watapewa watu watakatifu. hivyo madai ya elon musk kutawala dunia ni upotoshaji na uongo.
Elon Musk sio Mtakatifu?
 
Hii sijaiona au ilitokea asubuhi maana jioni jua lime zama vizuri tu
 
Uongo mbona hatujaona chai jaba
Tumpigwa tatepa ndio yaleyale ya mwisho wa dunia ila ya mwezi niliona tena nilikua sina habari kuna jamaa ndio akaniambia angalia mwezi umekamatwa kule
 
Tumpigwa tatepa ndio yaleyale ya mwisho wa dunia ila ya mwezi niliona tena nilikua sina habari kuna jamaa ndio akaniambia angalia mwezi umekamatwa kule
Walokore ni vichaa wanaotembea wao kila kitu ni dalili za siku za mwisho, siku za mwisho ni ww utakapokufa basi
 
KUPATWA KWA JUA TAREHE 21

Katika siku za hivi karibuni turishudia tukio la blood moon, mwezi kuwa kama damu ambali kitaalam linaitwa kupatwa kwa mwezi.

View attachment 3476038

Sasa kuna tukio lengine la kupatwa kwa jua, hili tunaweza kuliita kama black star au jua kuwa jeusi kutokana na kuzibwa na mwezi


View attachment 3476039


MATUKIO HAYA KIIMANI

Hata hivyo matukio kama haya yalitabiriwa kutokea katika siku za mwisho kwenye upande wa kidini, ambapo ilitabiri vitu vingi sana.


Miongoni mwa tabiri hizo ni mwezi kuwa kama damu na jua kutokutoa mwanga wake kuwa kam singa kabla haijaja siku ya mwisho wa dunia.


Je, swali la kujiuliza mwisho wa dunia umefika ?

Sasa hii pimbi mlevi inajaribu kusema nini?
 
Kupatwa kwa jua au kupatwa kwa mwezi,imeshatokea mara nyingi tu toka kuumbwa kwa Dunia,

Sasa iweje wewe utafsiri kua ndio mwisho wa Dunia utafikiri vile hili tukio ndio mara ya kwanza kutokea?
mimi mwenyewe namshangaa huyo pimbi!! Maana kipindi nipo primary enzi za magu hayo matukio yalitokeaga!!
 
Back
Top Bottom