Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025.
Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kupiga kura itakapofika kipindi cha uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Wakuu,
Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha zaidi ya miezi 6 kujiandikisha ili kupiga kura.
Hivyo kwa kufuta kifungu hiki ilifanya wafungwa...
Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura, na Kwa Jinsi mambo yalivyo, like Box la kupigia kula lingepewa Heshima inayo stahili.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote.
Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025.
Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania.
Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
"Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya...
Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza.
Nitashukuru.
Haki ya kupiga kura ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia inayowapa raia uwezo wa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wao na kushiriki katika maamuzi ya serikali. Haki hii ni muhimu katika kuhakikisha usawa, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika utawala...
Habari wakuu.
Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october
Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa, africa na hata majilani ndani ya east africa kuwa uchaguzi haufanyiki tanzania kwa haki, isipokuwa ni...
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.
Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi?
Au ni uchovu wa...
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili
Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki
118 - Kaskazini
91 kati
69 pwani
Viktoria 81...
Wakuu,
Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto.
Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa amenyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi na nafasi yake kupewa mtu mwingine.
Wilfred amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.