kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    LGE2024 Chalamila: Kumbe Kuna uchawi kwenye uchaguzi, nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa

    “Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa" Soma pia: Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  4. T

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  5. Mindyou

    LGE2024 Chamwino, Dodoma: Rais Samia apiga kura katika Kitongoji cha Sokoine. Asisitiza amani na majibu kutoka kwenye masanduku

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024. === Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
  6. Influenza

    LGE2024 Geita: Mawakala, Wapiga kura wavurugana katika kituo cha kupiga kura cha Mwatulole Center yadaiwa Mwanafunzi asiye na miaka 18 apiga kura

    Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center. Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna Wanafunzi wamejiandikisha na kupiga kura wakiwa bado Wanansoma na mwingine kujiandisha kwa...
  7. The Watchman

    LGE2024 Kigoma: Makamu wa Rais Dkt. Mpango na mkewe kwenye foleni kupiga kura

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye Mpango. Soma pia: Dkt. Philip Mpango awahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  8. Waufukweni

    LGE2024 Tanga: Mkuu wa Mkoa Batilda Buriani atoa wito kwa Wananchi kuondoka Vituoni baada ya Kupiga Kura

    Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada ya kukamilisha haki yao ya kupiga kura.
  9. The Watchman

    LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Dar: Wananchi Mtaa wa Sinza B walalamika majina kutobandikwa kituoni

    Wakuu, Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam wamelalamikia kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa jambo linalopekea wao kusumbuka mpaka kupata majina. Jambo TV imezungumza na baadhi ya wananchi waliofika kituoni hapo...
  11. Papaa Mobimba

    LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Lindi: Nape ashiriki zoezi la kupiga kura Mtama

    Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
  13. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko akishiriki zoezi la Kupiga Kura Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa kwenye foleni kusubiri kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Cha shule ya Msingi Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani hapa. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi
  14. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: Rais Samia apanga foleni ya kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo...
  15. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  16. Roving Journalist

    LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  17. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Balozi Nchimbi Ahitimisha Kampeni Akihamasisha Watanzania Kujitokeza Kupiga Kura

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumatano, tarehe 27 Novemba 2024, kuchagua viongozi, hususan...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Mnyeti: Hamasishaneni katika familia kupiga kura kesho

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti, amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura kama walivyojiandikisha. Akizungumza katika Kata ya Usagara wakati akifunga kampeni za Chama...
  19. Waufukweni

    LGE2024 Ally Hapi ahimiza Wananchi kujitokeza kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
  20. Waufukweni

    LGE2024 Mbunge Kiswaga: CCM Tumejipanga, Tujitokeze Kupiga Kura

    Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo. kiswaga amewahutubia wananchi katika mkutano wa mwisho wa kampeni, huku aliwasisitizia wananchi...
Back
Top Bottom