hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo
Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha
NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama
Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu
Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka
Hivi CCM wanataka...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kupitia mahojiano aliyofanya na Tumaini TV amesema:
"Uchaguzi wa serikali za mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya kidemokrasia, lakini zoezi hilo ni lazima litekelezwe kwa uadilifu, kwa uzalendo na kwa uaminifu, ni...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani.
Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo.
Pia, Soma:
Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo
Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi
Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura.
Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura.
Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita
Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi...
Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024.
Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha...
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 kumebainika kasoro ambazo zinalengo la kuharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya wanaoandikisha kujaza majina ambayo wahusika hawapo na kuandika Watu ambao hawajafikisha umri wa miaka 18.
Baadhi ya ambao wameandikishwa ni Wanafunzi wa...
Leo tujadili mchakato wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo na kutangaza mshindi ili tupate uelewa wa pamoja juu ya mchakato huo katika ukuaji na uimarikaji wa demokrasia ya nchi yetu. Kabla ya kujadli na kuhitimisha ni vema tukafahamu kwa uchache:
Mchakato wa uchaguzi Tanzania...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
amos makalla
ccm
chadema
haki ya kupigakura
kuelekea uchaguzi 2024
kujiandikisha kupigakurakupigakura
serikali za mitaa
tundu lissu
viongozi waandamizi
vyama vya siasa
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo
Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024 alitembelea jamii ya Wahadzabe katika kijiji cha MONGO-WA-MONO wilayani Mbulu ambao maisha yao bado...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha.
Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa kwenye ngazi ya kata na mitaa pia taarifa hizo zipo, kwanini tunapewa kwa ujumla na si kwa kata na...
Tukio la 2019 2020 na hivi mimi mtoto wa mkulima nimesoma kwa shida nimefanya vibarua kulipa ada Leo huu mwaka wa 6 sina ajira.
Wakuu naomba app ya kulock hii sms ya jiandikishe kupiga kura. Kwa siku inaingia mara 4 seriously? Hapana ni kulock tu.
Nimekaa na kuwaza... Hivi kweli haiwezekani tukaleta mapinduzi kwenye mfumo wa kupiga kura hapa Tanzania? Tunajua jinsi uchaguzi unavyochukua muda mwingi, foleni zisizoisha, watu wanaokata tamaa na kuamua kutojitokeza kabisa. Lakini mbona tuna teknolojia mikononi mwetu?
Kwa nini tusibuni mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.