Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.
Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata...
Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha
Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi) ambao hawajakidhi vigezo kikanuni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa.
Akizungumza na waandishi...
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
Binafsi nitatumia haki yangu kutokupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Kuna watu hata sura moja ya katiba ya JMT hawajawahi kuisoma lakini wanakwenda kupiga kura, safi wanatumia haki yao, Mimi katiba karibu yote nimeisoma nimeamua kukaa nyumbani au kwenda kazini...
Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa CCM inaandikisha wanafunzi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Wandugu, as long as hao wanafunzi watakuwa wamefikisha umri wa kupiga kura wakati wa uchaguzi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, ni haki yao kupiga kura.
Mbali na mashuleni, CCM...
Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
Kauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo .
CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha...
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo...
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20...
Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba.
Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA.
Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024.
Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata ya kwao ya Kiriba, yenye vijiji 3 na vitongoji 24, na kupata yafuatayo:
(i) Idadi ya wapiga kura...
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024.
Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati, matumaini, na sauti za vijana katika umri wa miaka 18 hadi 45 zinaweza kuwa chachu ya mabadiliko...
Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti.
Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa wizi kama Chaguzi nyingine.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 11 hadi 20, 2024 na upigaji wa kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa.
Wito huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.