kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Umewahi kupiga kura kutokana na taarifa ambayo baadaye ulikuja kugundua ni uongo?

    Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura. Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
  2. Q

    Pre GE2025 2020 sikupiga kura, ila safari hii nitapiga kura

    Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu. Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye. Kwa sababu, 1. Uongozi wake umepwaya ni wa vitisho na mabavu. 2. Utawala wake hauzingatii utawala...
  3. trojan92

    Pre GE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

    Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa. Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
  4. Tulimumu

    Pre GE2025 Kwa yaliyotokea 2015, 2019 na 2020 na yanayoendelea nimekata tamaa ya kupiga kura kabisa kama kuna ushauri wa kisaikolojia naomba nisaidiwe

    Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu. Chaguzi zenye haki...
  5. Damaso

    Tanzania ni kama sehemu ya vituko!

    Kutoka Maktaba!
  6. N

    KWELI Profesa Assad alisema Sitapiga kura hadi nchi hii tuanze kupiga kura kidigitali

    Ni kweli Profesa Assad alisema hatapiga kura hadi nchi hii ianze kupiga kura kidigital? Alisema lini na akiwa wapi? Maana naona kauli hiyo tu watu wanashare ila sioni wakisema chanzo.
  7. U

    Pre GE2025 Lissu ana uhakika wa Kura Milioni 3 za wamasai wenye sifa za kupiga kura

    CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya Mbeya. Kutokana na umoja wa wamasai walionao , nadiriki Kusema nimetembelea Vijiji vingi na Kata za...
  8. Roving Journalist

    LGE2024 Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wapiga kura wapya 190,131 wanatarajiwa kuandikishwa Mwanza

    Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo inafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia Agosti 21 hadi...
  9. Suphian Juma

    Masai hawana ardhi, Rais Samia anawapenda

    Wamasai hawana ardhi yao, ardhi ni yetu sotekwa Sheria ya ardhi ya 1999. Aidha Rais Dkt. Samia aliwahamisha FAIRLY Ngorongoro hadi Tanga na kuwapa upendeleo kuliko kabila lolote; makazi, elimu, afya, malisho bure. Wanaowafunda Wamasai migogoro dawa yao inachemka. Tuelimishane... Kwanza...
  10. Yoda

    Pre GE2025 Sioni kama ni afya au tija kwa taifa kwa raia wote kupiga kura katika uchaguzi

    Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito wa kura yenyewe hivyo sio rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi. Matokeo yake watu wa aina hii wakiwa...
  11. 4

    Pre GE2025 Watanzania wenzangu tujindikishe kwa wingi kupiga kura chadema itaenda waletea chuma

    Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua Wakuu andiko langu litakua fupi sana. Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika ) ni uchaguzi kati wapenda nchi yao kwa maslahi mapana ya sasa na vizazi vyao vijavyo vs machawa...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
  13. J

    Pre GE2025 Kupiga Kura ni Ibada, Chagua Kiongozi kwa kura Ili akizingua uwe na Uhalali wa kumshtaki kwa Mungu wa Mbinguni

    Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi huyo akawa mwizi na Fisadi basi utakapomshtaki Kwa Mungu wa Mbinguni ataadhibiwa Kwa kipimo kile kile...
  14. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandikisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha

    Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 . Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni . Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable , eli...
  15. S

    Kama mtu chini ya miaka 18 haruhusiwi kupiga kura, basi iwe marufuku watoto wadogo kufundishwa imani za kidini mpaka wafike miaka 21

    Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa). Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna...
  16. R

    Pre GE2025 Asiyepiga kura hana haki ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024 na 2025 kupiga kura na kuzilinda

    Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea. Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na...
  17. The Palm Beach

    Pre GE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  18. P

    Ukurasa wa TLS X umesema zoezi la kupiga kura limeisha, upande mwingine wanasema wanasubiri karatasi za kupiga kura ziongezwe, ukweli ni upi?

    Wakuu kwema? Ukurasa wa X wa Tanganyika Law Society wameweka tangazo kuwa zoezi la kupiga kura limekamilika watu wanasubiri matokeo sawa. Pia soma: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee Wakati upande...
  19. Yesu Anakuja

    Wakili wa Serikali kupiga kura TLS sio haki, ukweli usemwe

    Nimejiuliza sana, mawakili wa serikali wana umoja wao unaitwa TPBA (Tanzania Public Bar Association) yaani umoja wa mawakili wa serikali Tanzania, na wana Rais wao. Upande wetu TLS ukiongea kiuhalisia kabisa, unahusu Mawakili wa kujitegemea. TLS inajali maslahi ya mawakili wa kujitegemea, na...
  20. Nyendo

    Pre GE2025 Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani

    Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake. Kauli au taarifa za kuwepo kwa uchakachuzi wa matokeo ya uchaguzi, au wizi wa kura huemda ni moja ya mbinu ya kupunguza idadi ya wapiga...
Back
Top Bottom