📍Bukoba_Kagera
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comred Faris Buruhani, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kagera kwamba vijana wa Chama Cha Mapinduzi watakuwa mstari wa mbele katika kulinda na kudumisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya zoezi la upigaji kura litakalofanyika kote...
Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao.
CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasisitiza Watumishi wa Umma na Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kufanya uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Tanzania...
Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali huku watu zaidi ya milioni moja na laki saba elfu kumi na mbili mia nne sabini na mbili...
Mwanachama maarufu wa klabu ya Wananchi, Yanga na shabiki wa soka, Hussein Makubi Mwananyanzala, amewataka wapenzi wa soka nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji.
Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka vijana wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhakikisha wanapiga doria katika eneo lao siku ya uchaguzi ili kuzuia mtu yeyote asiyekuwa mkazi wa eneo hilo kupiga kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza na wanahabari leo, Jumatatu Novemba 25.2024 ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo waliojiandikisha kwenye daftari la mkazi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaowataka.
Sambamba...
Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeini jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Pangani ameendelea kuwanadi wagombea wa CCM kata kwa kata na kijiji kwa kijiji huku...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukisikia chama kiongozi basi hii ndio Maana yake.Ambapo CCM imeonyesha ukubwa wake , umadhubuti wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwafikia wananchi.kwa hakika siasa ni sayansi na CCM imethibitisha wazi kuwa ni bingwa wa sayansi ya siasa katika Nchi hii,kikanda na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa watanzania kuchagua viongozi wakufaa bila kujali itikadi za vyama vya siasa.
Askofu Mkuu Maimbo...
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
Mimi ni mpiga kura huru. Kama wewe una chama sikudharau wala kukuona huna maana. Kila mtu na kile anachokiamini. Usinidharau pia. Ni dunia huru hii na kila mmoja anapaswa kufanya anachojisikia.
Niliwahi kushawishiwa kujiunga na vyama fulani ila sikutaka ndoa ya hivyo. Sikutaka ndoa ambayo...
Wakuu,
Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais?
Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
Hizi jaza jaza hao watu huwa hawapigi kura , hata mimi kesho ntakuwepo mkutanoni ila sijawahi piga kura Serikali za mitaa uchaguzi mkuu ni mara moja tu
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 .
Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu.
Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu...
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa kwenda kupiga kura ili kuwachagua Viongozi watakaowaletea maendeleo katika maeneo yao.
Soma, Pia;
+...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024.
Akizungumza katika Baraza hilo la kikanuni amewataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 27 Novemba 2024 kukipigia kura Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.