Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumatano, tarehe 27 Novemba 2024, kuchagua viongozi, hususan...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo.
kiswaga amewahutubia wananchi katika mkutano wa mwisho wa kampeni, huku aliwasisitizia wananchi...
Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao.
CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo:
1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi
Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
US na UK zilikuwa zimeizuia Ukraine kutotumia makombora ya ATACMS ya USA na Storm Shadow ya UK kupiga ndani ya Russia. Juzi kati wakairuhusu na Ukraine ikayatumia kupiga ndani ya Russia. Putin amechafukwa sana baada ya kitendo hicho. Kwanza kasema kuwa hatasita kupiga target za kijeshi za nchi...
Wakuu,
Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais?
Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
Hizi jaza jaza hao watu huwa hawapigi kura , hata mimi kesho ntakuwepo mkutanoni ila sijawahi piga kura Serikali za mitaa uchaguzi mkuu ni mara moja tu
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 .
Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
Kuna mijadala mingi sana na Kila mtu anatoa uchambuzi wake Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi.
Ndugu zangu lisemwalo lipo na kama halipo basi lisubiri mlione.
Kwa muda mrefu sana hii vita ya Ukraine na USA imekuwa ikipigwa lakini nyuma...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024.
Akizungumza katika Baraza hilo la kikanuni amewataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 27 Novemba 2024 kukipigia kura Chama Cha...
hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo
Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha
NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama
Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu
Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka
Hivi CCM wanataka...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo...
Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili.
Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.