kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwafrika mmoja

    Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

    Habarini wadau, ni wajiu wetu sisi vijana kupeana fursa za namna ya kutafuta pesa online kulingana na namna ulimwengu unavyokua kwa kasi. Tusitumie bando kufurahi tu bali tuingize pesa. Siku hizi fursa za kupiga pesa mtandaoni zipo nyingi, ikiwemo hii ya freelancing ambayo unatumia ujuzi wako...
  2. GENTAMYCINE

    Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
  3. Mystery

    Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
  4. Roving Journalist

    NEMC: Tunachunguza madai ya Baa ya Ellis kuwa imekuwa kero kwa majirani kutokana na kelele za muziki

    Baada ya Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika baa maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, kuwa inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi hali ambayo ni kero kubwa kwetu, Mamlaka husika imezungumzia suala hilo: Kusoma hoja...
  5. davetz 23

    Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  6. comrade_kipepe

    Naomba kujuzwa gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nje na ndani

    Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
  7. MK254

    Israel yafanya majaribio ya mizinga yenye uwezo wa kupiga kilomita 1,800 KM

    Mwendo wa maandalizi...... Kwa kifupi sasa hivi swali la kujiuliza ni lini yataanza maana ukanda ule unaelekea kuchafuka. Israel conducted a test launch for a missile with a range of up to 1,800 kilometers, (1,118 miles) pro-Kremlin Telegram channel Rybar reported on Thursday. The missile...
  8. Webabu

    Wahuthi wazifikia meli zinazowakimbia.Waanza kupiga ndani ya bahari ya Mediteranean

    Mashirika mengi makubwa ya kusafirisha mizigo zimeacha kutumia njia ya bahari ya mkato kupitia bahari nyekundu na Suez kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth walioahidi kuzipiga meli zinazoelekea au kutoka Israel wakiwa na lengo la kuwasaidia watu wa Gaza. Meli hizo imebidi zipite...
  9. toriyama

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  10. GENTAMYCINE

    Endeleeni kudhani la Sukari ni la Bashe, Mpina na Spika wa Bunge ila Mlengwa Mkuu anahaha baada ya Kushtukiwa kupiga Dili na Mwana

    Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao. Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu )...
  11. U

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko? Wadau hamjamboni nyote? Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
  12. DesertStorm

    MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  13. MK254

    IDF waendelea kupiga Rafah licha ya ICJ kukataza, jameni rejesheni watoto wa Wayahudi ndio yaishe

    Mumeshikilia watoto wa Wayahudi halafu mnaomba ICJ iingilie kati ili IDF iache mapigo, jameni wale ni Wayahudi sio Wakristo, mtapigwa sana, achieni watoto wao...poleni lakini. Israel continues to bomb Gaza, including Rafah, despite ICJ ruling Dozens of Palestinians killed across the besieged...
  14. VINICIOUS JR

    Wapiga picha na walio wai kupiga picha kujeni hapa

    Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na kuniambia, "Dada anasema uje umpige picha Jumatatu." Sasa ikabidi nigeuke, nikamwona huyo dada kasimama...
  15. Balqior

    Kupiga vizinga (kuomba omba hela) na selfishness mentality ni moja ya sababu inayofanya wadada wengi wasiolewe, au wawe single mothers

    Habarini Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia. Wanaingia kwenye...
  16. DR HAYA LAND

    Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

    Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose. Usiogope competition (kushindanda) wewe shindana na hao wenye pesa Ukisema unasubiria kupiga mpira...
  17. Meneja CoLtd

    KWELI Msongo wa mawazo husababisha uwaraza

    Hivi karibuni kumezuka sintofahamu kwamba msongo wa mawazo husababisha matatizo ya kupungukiwa na nywele (uwaraza), je ni kweli?
  18. BARD AI

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  19. BARD AI

    Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

    Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi. Kujua namba ya utambuzi wa...
  20. K

    Nashindwa kufika mshindo

    Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa... halafu dushe linawyeaaa hapo ndio basi mpaka kesho tena...
Back
Top Bottom