Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki.
Dullah Mbabe ni kati...
Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha.
Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini.
Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
Mkongwe wa mchezo wa ndondi, Mike Tyson ambaye ana umri wa Miaka 58 inadaiwa anafikiria kurejea ulingoni kupigana baada ya kupoteza pambano dhidi ya Jake Paul (28) iiwa ni mara ya kwanza baada ya kustaafu miaka 20 iliyopita.
Licha ya pambano lake lililopita kukosolewa na wengi lakini lilikuwa...
Habari zenu wana jamifourm!
Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.
Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Wadau hamjamboni nyote
Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi
Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
Habari za jumapili Wakuu!
Miaka hiyo bhana! Niko zako mwaka wa Kwanza nikiwa Likizo. Nimerudi zangu Moshi. Sasa mtaa tuliokuwa tunakaa ni karibu na Kota za Polisi pale Moshi Mjini. Kwa wanaojua Moshi Mjini Basi karibu na Club kubwa inayoitwa HUGO Club. Kutoka Hugo Club na uwanja wa mashujaa sio...
Salaam ndugu zangu
Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
Pamoja na mashambulizi ya Israel ya kuua viongozi wa Hezbollah, Urusi imesema kuwa Hezbollah haijapoteza uwezo wake wa kupigana na chain of command iko intact.
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa genociders, ambao walidhani kuua kiongozi fulani hapa na pale ndiyo mwisho wa taasisi. Wamesahau...
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop...
Israel na Russia walikuwa maadui tangu zamani sana ,uadui wao ulijulikana sana miaka ya 1947 kipindi cha Cold War mpaka miaka ya 2000.
Miaka ya 2000 mpaka sasa Israel na Russia wakaanza kuwa Marafiki hiyo ni kutokana na sababu kuu 3 :-
1. Kuingia katika uongozi wa Russia Pro-Israel Vladimir...
Maroketi ya Hezbollah hapo jana yamerushwa maeneo nyeti sana ya Israel hasa kaskazini.Hali hiyo imemfanya Netanyahu aitishe kikao cha dharura kujadili mabadiliko ambayo yamezidisha hofu kote kote nchini humo.
Ving'ora vimewashwa kote kuwafanya watu kuingia kwenye mahandaki yao.Uwanja wa...
Katika pita pita yangu ndani ya maktaba moja kubwa hapa nchini nimekutana na jina la huyu mtoto, Momčilo Gavrić na taarifa kuwa ndiye mtoto au mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia vitani mpaka sasa, huku vita ya kwanza ya dunia WWI iliyoanza Julai 28, 1914 na kutamatika mwezi Novemba 11...
Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
Rapa wa Marekani, Jacques Bermon Webster, maarufu kama "Travis Scott," amekamatwa na Polisi wa Ufaransa jijini Paris baada ya kuhusika katika ugomvi kwenye Hoteli ya Nyota Tano, 'George V,' mnamo Agosti 8, 2024.
Vyanzo mbalimbali vimethibitisha kuwa rapa huyo alikuwa amelewa wakati...
Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo.
Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji.
Awali baharia mmoja alipotea baada ya shambulio hilo wakati ambapo meli za kivita za Marekani zilijaribu kuzima moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.