kupigana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Huku Hizbullah ikizidisha mapigo, Israel yasema ni bora kufanya mazungumzo kuliko kuendelea kupigana

    Huku baadhi ya vikosi vya jeshi la Israel vikishangilia kuondoshwa Gaza baada ya kipigo,kule kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wanamgambo ya Hizbulla hawajaonesha dalili ya kuathiriwa na mashambulizi ya anga ya jeshi la Israel. Baada ya kipigo cha jana na leo kulenga maeneo ya vikosi vya...
  2. MK254

    Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  3. Webabu

    Tuko tayari kupigana kwa muda wowote vita itakaochukua - Hamas watoa tamko kuadhimisha vita na Israel

    Kiongozi muandamizi wa Hamas, Ismail Haniyeh amesema vikosi vya kivita vya kundi hilo vimejitayarisha vya kutosha kuendeleza vita na Israel kwa muda wowote vita hivyo inakavyochukua. Katika tamko hilo kiongozi huyo amesifu utayari wa vikosi vya kivita na mikakati mnyumbuliko waliyojitayarisha...
  4. Ritz

    Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

    Wanaukumbi. 🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops directly to the withholding of aid to Ukraine "Congress have to pass aid for Ukraine" "If Putin...
  5. matunduizi

    Vijana majobless muanzishe vijiwe vya kubadilishana mawazo kama wazee walivyoanzisha vijiwe vya kahawa kupigana fiksi

    Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates. Muachane na vijiwe vya betting. Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
  6. Webabu

    Saudi Arabia yaionya Marekani. Yaitaka iache kupigana na Houth na vita vya Gaza visitishwe haraka

    Huku upepo tufani la Al Aqsa ukizidi kupiga kote kote.Saudi Arabia imeionya Marekani juu ya kihere here chake cha kuwatibua wapganji wa Houth kwenye bahari nyekundu. Wakati huo huo taifa hilo mashuhuri kwa kusafirisha mafuta duniani limesisitiza juu ya haja ya kusitishwa vita vinavyoendelea...
  7. Webabu

    Je, Marekani ina uwezo wa kupigana na Houthi kuilinda Israel?

    Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake. Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano kuwasaidia wenzao wa Gaza, Marekani imekuwa ikikasirika sana na hata kuwahi kusema Yemen ni rogue...
  8. Webabu

    Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

    Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea. Baada ya hapo hospitali hizo...
  9. Webabu

    Jordan yamwita balozi wake wa Tel Aviv na Saudia, walaani vikali mashambulizi ya Jabaliya

    Hali mbaya waliyonayo wapalestina wa maeneo yote hakukuwa na haja ya matumizi ya diplomasia na ahadi za mazungumzo.Ilikuwa ni kuchukua maamuzi sambamba na ukatili unaofanywa na serikali ya Israel kwa wapalestina wanyonge. Kinyume chake seikali ya mfalme Abdallah wa Jordan imemuita nyumbani...
  10. Majok majok

    Ushauri; Robertinho uwe unafanya rotation ya wachezaji ili kuepusha kupigana misumali

    Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na madhara yake uwa yanaiathiri klabu kwa asilimia kubwa! Jambo ili kwa mtazamo wangu linachangiwa...
  11. MK254

    Cuba yalalamika kwa Urusi kutumia raia wake kwenda kupigana Ukraine

    Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene... A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says. The Cuban...
  12. Webabu

    Mwanasheria aliyepelekwa mstari wa mbele Kharkiv baada ya kunusurika kifo asema harudi tena kupigana.

    Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi. Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya...
  13. USSR

    Mandonga case study: Je Ni sahihi kwa bondia kupigana mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

    Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili, Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii. Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
  14. polokwane

    Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

    Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa. Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda. Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
  15. Webabu

    Prigozhin asema hataki tena kupigana Ukraine, anakuja Afrika

    Baada ya utata wa muda mrefu wa mahali alipo kiongozi wa kikundi cha askari wa kukodiwa cha Wagner leo ameonekana hadharani nchini Belarus alikohamishia shughuli zake baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Urusi kuzimwa. Katika video iliyomuonesha akisalimiana na askari wake...
  16. benzemah

    Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Kula kwa urefu wa kamba yako

    Inasikitisha sana! Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha. Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  19. NetMaster

    Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  20. Superbug

    Hivi wale WATU wa upinde wa mvua almaarufu rainbow wanaweza kupigana vita jeshini?

    Wanajamiiforum wenzangu naomba kuuliza hivi ile jamii maarufu sikuhizi kwenye mitandao LGBT wanaotumia rangi za upinde wa mvua wanaweza kupigana vita jeshini? Mfano ule mtiti wa idiamini tukiwa na watu kama hawa warfront tunauhakika wa kuibuka washindi.?
Back
Top Bottom