Siku moja kuna jamaa, si rafiki yangu lakini tulikuwa tu afahamiana nae, amekuja na story kuwa alikuwa amevutiwa na msichana niliyekuwa natoka nae. Sikufahamu dhamira yake ila nilimjibu tu, "ongeza jitihada, unaweza kumpata"! Upande mmoja nawaza labda nilikosea, ningemwambia aache fikra zake kwa...
Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu.
Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana.
Haya ma observation yangu msinitukane.
Siku za karibuni nimekuwa nikiona matangazo mengine matandaoni ya kuwavutia vijana kwenda kusoma bure Urusi.
Kabla ya vita hii inayoendelea sikuwahi kuona matangazo kama haya
Sasa ukitazama kuna vijana kadhaa kutoka Afrika waliokuwa wanasoma huko wamefia vitani halafu wote walikuwa jela
Hii...
Jenerali wa jeshi la anga la Marekani Bw. Mike Minihan ameliandikia ujumbe jeshi la Marekani kuwa tayari kwa ajili ya kupambana na China mwaka 2025.
Vyanzo vya habari:
Swali kutoka kwa lieutenant katika jeshi la marekani hili hapa :
Maswali yangu:
1. Ipi ni athari kubwa ya ujumbe wa jenerali...
Ni uzi maalum kwa kumbukumbu
Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo.
Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
Baada ya Urusi kushindwa Ukraine, ilibidi watumie wafungwa, kundi la kwanza ambalo limerudi kutoka Ukraine limeachiwa huru ila kwa kuombwa wasibake wanawake...
The first batch of Russian prisoners who were offered amnesty in return for fighting in Ukraine has been released, the head of Wagner...
Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa mashambulizi yaliyofanikiwa.
Kundi la M23, ambalo liliundwa Miaka 10 iliyopita, linadai kutetea maslahi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.