Siku moja kuna jamaa, si rafiki yangu lakini tulikuwa tu afahamiana nae, amekuja na story kuwa alikuwa amevutiwa na msichana niliyekuwa natoka nae. Sikufahamu dhamira yake ila nilimjibu tu, "ongeza jitihada, unaweza kumpata"! Upande mmoja nawaza labda nilikosea, ningemwambia aache fikra zake kwa...