Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu.
Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye...
Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani.
--
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
Huko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa.
Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu!
Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu.
Kuna...
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka...
Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo leo akiwa Kigamboni ambapo amesema hatua hiyo ni...
Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi.
Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
Kiukweli jamaa kazingua.
Hapo sasa ndio tuje tuelewe mentallity za wachezaji waliopo katika hiki kikosi kisichoeleweka. Yeah they lose and they do not care
Jeshi la Israel limekiri kupoteza askari wake 15 katika masaa 24 yaliyopita.Idadi halisi ya waliokufa huenda ni zaidi ya wale 67 waliotangazwa na Hamas hapo jana.
Katika taarifa za leo vikosi vya Hamas vimesema mapambano makali ya ardhini yanaendelea katika viunga vya mji wa Gaza na kwamba...
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia...
Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania.
It is what it is, it pains but swallow it the hard way...
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo.
Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa.
Bahati...
Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:-
1. Gesi asilia ya kutosha
2. Makaa ya mawe ya kutosha
3. Mwanga wa jua wa kutosha
4. Nk nk
Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
Kesi Namba 59 jinai, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 imeendelea tena Oktoba 12, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa...
Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu.
Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao....
Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone.
Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram
Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.
Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye...
WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili.
Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.