Utata umeibuka kufuatia kifo cha mwanafunzi wa shule ya sekondari Sabasaba, baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kutoa taarifa iliyoonyesha kuwa kifo cha mwanafunzi huyo kilitokana na ugonjwa saratani ya damu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme.
Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90
Messi atamfunga na wengine watafunga
Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano
Na mwakani Messi atakuwa mchezaji Bora wa Dunia na huo ndio utakuwa mwisho wake 🙏🙏🙏
Na Messi ataandikwa Kama mchezaji...
Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga...
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
Rais Hakainde Hichilema amesema anataka kuzirejesha Tsh. Bilioni 450.4 zilizotumika na Rais Mstaafu Edgar Lungu kununua Ndege hiyo aina Gulfstream 650.
Hichilema amehoji “Kwa nini tuliamua kutumia Tsh. Bilioni 450.4 kununua Ndege? tungeweza kununua madawati mengi ya shule kwa ajili ya watoto...
Waziri wa Jinsia, Jeannette Bayisenge amefichua kuwa vita dhidi ya ukatili wa kijinsia nchini humo ni kubwa
Amesema utafiti wa mwaka 2020 umeonesha asilimia hiyo imetokana na wanawake kuamini kuwa kuna uhalali wa wao kupigwa kutokana na sababu mbalimbali
Baadhi ya sababu hizo ni kama mwanamke...
Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo.
Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex.
Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja.
Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa relevant Harmonize naye akaitangaza siku hiyo kuwa atatoa album na yeye.
Sasa ni wazi ameyakanyaga...
Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa.
Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini.
Hivyo hivyo hizi...
Habari za muda huu wana JF
Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking)
Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.
Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa.
Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudiwa ongezeko kubwa la tembo nchini humo.
Hii sio mara ya kwanza Namibia inauza wanyama kwa mnada, ambapo msimu wa kiangazi inaelezwa kuwa kunatokea mgogoro kati ya wanyama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.