Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!.
angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠
Na wengine...
Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?"
Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika?
Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia,
Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi
Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
Wakuu,
Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?
Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo
Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌...
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie
Mwanaume nimeamua kupika
Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza
Nakosea wapi wakuu
Tunajua mkiwa wenyewe mtakula vibandani sasa sisi wageni tukiwatembelewa inakuwaje? je mtatupeleka huko vibandani au mtatuagizia chipsi kwa mangi?
halafu mtu uyo gani anaogopa maji au dume hilo? maana navojua hao watu na maji inatakiwa wao na maji, maji na wao yani kama pipa na mfuniko wake
Nafikir mna Weeknd nzuri sana nduguzangu
Leo tupike ndiz nyama za Nazi
Mahitaji
Ndizi mbichi mzuzu
Kitunguu nyanya moja(Huwa haipendez kutumia nyanya nyingi)
Karot na hoho
Nyama iliyochomshwa(usisahau kuchemsha na viungo kitunguu swaumu tangawiz na currypowder)
Nazi unaweza tumia ya pakt au ya...
Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...
Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi.
Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
Ndugu zangu Watanzania,
Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
I hope mko poa
Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa
Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀
Mahitaji
Samaki
Mchele
Unga wa pilau/pilau masala
Binzari nyembamba
Giligilani ya majani
Mafuta ya kupikia
Vitunguu swaumu na vitunguu maji
Chumvi na viazi...
Natumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi
MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima
Sukari kama hupendi tumia chumvi
Hatua ya kwanza
Menya ndizi kata vipande vinne
Kama unatumia...
Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu
Mahitaji
Ngano kilo moja
Sukari robo (utaigawa mara mbili)
Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja
Maziwa ya maji nusu lita
Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
Wazee wa mahaba mpo?
Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini?
Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko
Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri
Mahitaji
Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula
Hatua ya...
Habari JF,
Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako?
Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam
Makazi ya kijana huyu...
Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali.
Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko.
Vijana wanalalamikia...
Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya mazingira yangu ya utafutaji nakaa sehemu kwa muda mfupi baadae naenda eneo jingine nikiridishe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.