kupika

Joachim Mdadu Kikhela Kupika (10 March 1932 – 12 March 2019) was a Democratic Republic of the Congo Roman Catholic bishop.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  2. GENTAMYCINE

    Miriam Mauki: Mume wangu anajua kila 'Kitu' isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui

    Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa Mumewe huyo anajua kila Kitu isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui. Tafadhalini elewa hapo neno...
  3. Top007

    Natafuta wadada na wakaka 5 kwa ajili ya kupika katika bakery

    Habari, Naitaji wafanyakazi 5 (wadada na wakaka) kwa ajili ya kunisaidia kupika katika bakery. Eneo: Kibaha Maili Moja Piga: 0678650509
  4. lee Vladimir cleef

    Naomba kufahamishwa namna ya kupika nyama ya kopo.

    Nawasalim kwa jina la TZ. Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo. Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa. Je ninaiandaaje kwa...
  5. Aaliyyah

    Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Natumaini wazima. Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu. Nazi, karoti, hoho, kitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu ukipenda. Andaa viungo vyako katakata size utayopenda...
  6. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika pilau tamu la Nazi

    Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze MAHITAJI 1)Mchele kilo moja. 2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu 3)kitunguumaji,kata kata wastani 4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani...
  7. E

    Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    Habari wakuu, Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa Maana nikirud home nakua nimechoka sana Asanteni
  8. Kaka yake shetani

    Jamani nilichokikuta kwa mfanyakazi wangu kupika chipsi zege na samaki

  9. Shining Light

    Jinsi ya kupika Kababu

    Mahitaji Mayai 2 Unga wa ngano au Bread crumbs Kijiko kimoja cha tangawizi chumvi Mixed spice au Viungo vya Pilau oil simba mbili au cubes Maelezo Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili) Changanya mchanganyiko...
  10. B

    Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  11. Mjanja M1

    Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  12. Doto12

    Nimejikuta napenda kupika

    Ndg zangu. Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile. Sasa sijui wife anawaza nini ndoa isije tetereka
  13. The Fishport Prince

    Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara. Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini. Leo niliamka saa kumi na moja...
  14. Gentlemen_

    SIRI: Mwanamke ambae hajui Mapishi (Kupika) hafai, na hapaswi hata kuolewa

    UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII. Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia. Ndio maana sisi Watanzania mtu akioa tunasema "Jamaa kavuta JIKO" eeh. Hiyo kauli ina maana kubwa sana...
  15. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

    Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
  16. sky soldier

    Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  17. Naanto Mushi

    Namna ya kupika sotojo la mchemsho wa ndizi nyama

    Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy Leo nakuja na sotojo la...
  18. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
  19. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

    Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako Iriki au vanilla Sukari /chumvi ni vile upendavyo Yai moja au mawili Maji ya baridi Hatua...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

    WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa ni kasumba), ambazo ilikuwa mwiko kwa mwanaume kuwa nazo. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa kijana kuwa...
Back
Top Bottom