Habari Zenu Wakuu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi.
Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
-kuweka hamira kwenye wali
-kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu),
-kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande)
-viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo.
-kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
Kwa wale wanaotafuta wachumba wa kike swala la kujua kupika au kutokujua kupika limekuwa gumu sana siku hizi.
Yaani imekuwa kama swali la kibinafsi ambalo ni vibaya kuuliza!
Watasema amesoma, mtu wa dini….. kwenye kupika jibu ni gumu sana
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.
Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii...
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea.
Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
Wakuu habari za miaka
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua. Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii...
Habari marafiki zangu wapendwa?
Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini nitajaribu kuzipika vizuri kama iwezekanavyo.
Shukrani
Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika.
Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani.
Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu.
Kwa wenye ujuzi...
MAHITAJI
[*=left]1 kilo unga wa ngano
[*=left]240 ml maji ya vugu vugu
[*=left]2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula
[*=left]2 asali kijiko kidogo cha chai
[*=left]1 chumvi kijiko kidogo cha chai
[*=left]1 hamira ya chenga kijiko kidogo cha chai
JINSI YA KUPIKA
[*=left]Chukua...
Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi.
Chanzo: globalpublishers
Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza Maswali mengi mno tu na kuanza kuhisi kuwa huenda huyu Mbunye yake ni ya Dhahabu tupu
Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.
Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali.
Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk.
Hebu tueleze ilikuwaje.
Wilaya ya Kinondoni kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kama tanuri la kupika viongozi kwenye ngazi za juu zaidi
Kumbukumbu zangu za karibuni zinanikumbusha wafuatao
1. Mama Ritta Mlaki, alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadaye kuwa mbunge wa Kawe na kuteuliwa na hayati Benjamin Mkapa...
Najisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi.
Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa...
. . .What are you Great at?!!
Nini ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula kama hawana akili nzuri? Au hawaachi kuomba uwaambie ulichoweka? Au hawaachi kutania kwamba lazima umeweka dawa au 'umepika bila nguo' lolz. . .ama wengine unashangaa wanaishia kupenda chakula ambacho hawakuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.