Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK).
Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024.
Pakua Samia App kupitia Play Store...
Wakuu wana Tech
Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu
Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi,
Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini).
Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha.
Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
Mada Inajieleza.
Mh. Deus Sangu bado ni kijana?
Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA.
📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma
📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa
📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
Package ina
-1 Glucometer (mashine ya kupima sukari)
-25 testing strips
Bei : 35,000/=
Testing Strips (50)
Bei: 20,000/=
Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma
Mawasiliano
0653776099
0789344956
0767810030
0620249911
Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO
"Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?
Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam.
Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
Kheri Kwenu mabibi na mabwana.
Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa.
Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako.
Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
ATHARI ZA KUPIMA UTI PASIPO ULAZIMA
Ukienda kupima malaria unaambiwa una UTI. Ukijisikia dalili za homa inayotokana labda na infection kwenye jeraha, dokta anakuambia utapata dawa za kidonda na UTI. Una jipu linalokupa homa ukaenda hospital kupasua dokta anakuambia una UTI pia. Umekula nyama...
Habari za muda huu wapambanaji
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya, nina visa vingi sana, nitajaribu kufupisha na namna gan nilivo chukua maamuzi magumu ya kupima...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...