kupima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Wanaume wa Kanda ya Ziwa mmeshtuka nini hadi nyie ndiyo mnaongoza kwa Kupima DNA Tanzania nzima?

    Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno. Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
  2. HelcopterChopa

    Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

    Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji. Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima saizi ya kiuno chako kwa kuzungushia kiuno cha ile suruali shingoni mwako ili kujiridhisha kama...
  3. Raymanu KE

    Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
  4. JituMirabaMinne

    INAUZWA Mashine ya kupima battery ya gari (Car Battery Analyzer)

    Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na kujua kama ni nzima. Ina uwezo wa kuanalyse na yenyewe ikakuambia state of health ya hiyo...
  5. Lububi

    Kupima tezidume, UTI sugu, bawasiri, figo, ini, kibofu, utumbo...dar

    Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai. Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja? Bajet yake ni sh ngap? Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo. Natanguliza shukran
  6. Start-Menu

    Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

    Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
  7. Lidafo

    Ni kwa kiasi gani tunaweza kupima ukweli wa historia inayofundishwa mashuleni?

    Wasalamu ndugu wana JF wote. Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo vikuu somo hili limekuwa linawajengea wanafunzi , walimu na wanahistoria kwa ujumla uwezo wa kutoa hoja...
  8. hermanthegreat

    Ipi ni njia sahihi ya kupima uwezo wa akili ya mtu?

    Habari wakuu Ipi ni njia sahihi ya kutambua akili ya mtu
  9. BARD AI

    Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  10. T

    Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime. Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.
  11. Equation x

    Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

    Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'. Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango...
  12. M

    Wanaume acheni kupima DNA

    Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo. Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo, Margaret Muhanga, anasema haijalishi kama wanaume wanaolea watoto ni baba zao kwa damu au la, na...
  13. CONTROLA

    Wanaofanya Biashara ya Manukato (Perfumes) za Kupima...

    Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara. Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana huu mwaka Ndani ya biashara yangu Flani hivi. Naombeni muongozo wa namna naweza ianzisha sijui...
  14. Nsanzagee

    Jamaa Alienda kupima! Kaambiwa ana kansa ya ubongo` jamaa kamwambia Doctor, toa ubongo! Dct! Mmh! Utakufa!!

    Jamaa mmoja alienda kupima na akagundulika ana kansa ya ubongo! Jamaa alisikitika sana, mwishowe kamwambia Doctor, Doctor basi ondoa ubongo! Doctor Akashangaa, akamwambia! Utakufa maana hakuna mtu aweza kuishi bila ubongo! Jamaa akamwambia Doctor, Siyo kweli doctor! Mbona ccm wanaishi tu!!
  15. R-K-O

    Research yangu imekamilika ya kupima kiasi cha data “kilichopigwa” kwenye bando la mwezi, Haya ndio matokeo niliyopata

    Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72) Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi mpya saa sita usiku siku inapoanza. Nilitaka kufanya utafiti wa kujua kama pana upigaji maana ni...
  16. mtwa mkulu

    Ndugu watanganyika ninaombeni mumsamehe Luhaga Mpina kwa kupima samaki kwa rula, kila mwanadamu ana mapungufu yake

    Ndugu zangu watanganyika, Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika, Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika, Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga mpina mbunge wa kisesa kwenu. Hakika japo hajakili alilo lifanya lilikuwa na mapungufu makubwa kwetu...
  17. Replica

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  18. Chachu Ombara

    Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
  19. NetMaster

    Kumbe inawezekana mtu akawa kaelimika bila kufaulu mtihani wa darasani kisha utendaji ukaamua kupima kwamba aliefaulu darasani hajaelimika ?

    Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
  20. M

    Wanaume acheni ubabe kwenye kupima afya zenu

    Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao. Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili kuwafanya wenzao wao wawe na muamko wa kupima afya zao. "Nilipomuambia mume wangu inahitajika mimi na...
Back
Top Bottom