Habarini wadau,
Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau
sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau?
Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume.
Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza...
Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi.
asanteni sana
Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
Rais Samia,
Pole na kazi ngumu ya kujenga taifa (ujasiriadola) katika mazingira mapya yenye changamoto lukuki.
Kazi ya kujenga nchi inahusu kuuliza na kujibu maswali yapatayo kumi hivi, mojawapo likiwa:
"Katika safari yetu ya kusukuma gurudumu la maendeleo kuelekea kwenye kilele cha mlima wa...
Kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi, nchi zimeweka taratibu mbalimbali kwa wasafiri kuingia na kutoka ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19
"Taratibu hizi ni pamoja na kuweka sharti la kupima COVID-19 ili kupunguza au kuzuia kuingia kwa ugonjwa huu katika nchi hizo"...
Na Tom Wanjala
China imetajwa kuwa mwamuzi mkubwa katika soko la kimataifa la maua yanayotoka Kenya.
Meneja mauzo wa kampuni ya maua ya Redlands Roses, Bi. Dorcas Gathura anasema kuwa China imesaidia kampuni hii kupanua mauzo yake katika mataifa mbalimbali. Anasema kuwa kinyume na mataifa...
Ni mwezi mmoja tu umebakia Nyumbu waende huko Ndutu na Serengeti kusini ilA hadi sasa hakuna tarehe tajwa ya kuweka kituo cha kupima corona maeneo hayo.
Hivi makampuni yatauzaje wageni kama hawana hakika kuwepo kwa kituo kwa muda stahiki? Au ni mpaka private sector ambayo ipo taabani kwa korona...
Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako.
Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika.
Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU
Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu.
Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
Mtanzania wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA.
Mtanzania wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa Maandishi...
Habari zenu.
Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii.
Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji.
Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
Je, COVID-19 ni nini?
COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
biashara
chanjo
chanjo ya corona
corona
covid 19
fursa
korona
kuhusu
kupima
kutumia
mabeberu
macho
mafua
maoni
matarajio
mawimbi
mipango
mjadala
mtazamo
nje
pesa
risk
tafakari
tanzania
ukweli
uongo
utoaji chanjo
uviko
uviko 19
wako
world
Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia.
Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni.
Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya...
Wakati aina mpya ya kirusi cha Corona- Delta kikiripotiwa nchini Rwanda, serikali ya nchi hiyo imeanza mkakati wa kuwapima wakaazi kuanzia vijijini hadi mjini. Sambamba na hilo pia serikali ya Rwanda inakusudia kutoa vyakula katika familia zilizoathiriwa na agizo la kusalia ndani ambalo...
Habari wana jamvi, natumai hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye mada
Ilikua ni siku ya alhamisi shuleni x nilipokua A - level mida flani hivi ya jioni nimetoka zamgu kupiga kujisomea narudi bwenini, kuingia kwenye room ninapolala nikakuta kuna ugomvi wa masela wawili wote wa ile room.
Kwakua...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.