kupima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. King Loto

    Wakuu Nafikiria Kupima Daaah

    Wakuu! Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa. Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu. Damu unaiona ina pita shaaaa mara mistari 😅 aseee sijui nani alileta huu ugonjwa. Tangu jana najisahula kama...
  2. 2019

    Hivi Serikali haiwezi kupima miji yote kabla ya ujenzi holela kuenea?

    Dodoma kwa sasa inaonekana imepangika kweli kweli. Kwa asilimia kubwa imepimwa, ikifuatiwa na mkoa wa Pwani lakini upande wa kuanzia Bagamoyo. Je, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa miji yote midogo na mikubwa?
  3. Lavan Island

    Chanjo ya Covid19 inaletwa lini? Gharama za kupima zipo juu mno tunashindwa kusafiri nauliza

    Jamani nauliza hapa nchini kwetu ule mpango was kupewa chanjo umeishia wapi sisi wengine tunahitaji maana in wasafiri gharama za kupima zimekuwa kubwa mno kiasi kwamba kila nikipata kazi online nakwama kupima sababu sina dola mia.
  4. Mparee2

    Covid - mfumo wetu wa kupima Korona hauwafai watalii...

    Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii 1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
  5. F

    Mwajiri ana haki ya kumlazimisha mwajiriwa kupima afya?

    Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili. Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini? Na vipi Mkude akiamua...
  6. Affet

    Ujasiri wa wanawake kupima UKIMWI huwa unatokea wapi?

    Habari zenu, mimi ni kijana mwenzenu msomaji mzuri sana humu ila si muanzishaji sana wa nyuzi kuna jambo kidogo huwa linanitatiza wanawake niliowahi kuwa nao wengi huwa na mambo mengi yaani hawajatulia ila sasa kinachonishangaza linapofika suala la kupima. Mimi ninayejifanya mtulivu ndie muoga...
  7. Chris wood

    Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

    Najua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya. Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria kidogo naanza kufikiria michezo michafu niliokuwa naicheza huko nyuma, nasema au ndio dalili za HIV...
  8. mwanzo wetu

    Kakimbia bila viatu kwa kuogopa kupima

    Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya. Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV. Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana, hasa mda huu ambapo vijana Dunia imetuamini sana hivyo lazima na sisi tujiamin kwa kila Hali na njia...
  9. Analogia Malenga

    Serikali yaongeza sehemu za kupima corona Uwanja wa Ndege

    Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
  10. Poppy Hatonn

    BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress. Hawa watu hawana uzalendo. Hawa ni vilaza au vipi? Lazima tuwe na nidhamu...
  11. kilamba lamba

    Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

    Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
Back
Top Bottom