Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali.
Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa pesa flani ya mtelezo kwa Serikali na shirika la umeme, 7000 ukizidisha na wateja wote wa kawaida...
Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia
Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis.
Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri.
Kambi hii...
Uhusiano kati ya ustawi wa akili, afya ya mwili, na tabia ya kutoa ni jambo la kuvutia na tata. Safari ya John D. Rockefeller kutoka ugonjwa hadi afya, iliyoanzishwa na mabadiliko yake kutoka mtindo wa maisha unaozingatia binafsi hadi ule unaolenga uhisani, ni mfano maarufu. Hadithi ya...
Matukio ya utapeli nchini yamezidi na yanazidi kushika kasi nchini. Matapeli wamekua wakibuni mbinu mpya kadiri siku zinavyosonga. Utapeli wa mitandaoni na usio wa mitandaoni umekuwa mwiba mkali kwa wananchi wengi huku ukiwaachia maumivu ya kupoteza pesa walizotegemea zingewanufaisha kwa namna...
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.
Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.
Siku...
Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss.
Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani?
Mimi Mwl muuza Kangala
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?
Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona.
Ukiachana na Derulo...
Utangulizi
Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa.
Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
Utangulizi
Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake tutakuwa tunawekewa
Busati la mtoro mara msitu wa Jozani na historia ya mtume haya nadhani yanaweza...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12.
Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.
Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.