“Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,” Ibrahim Ajib
Yuko sahihi au maneno ya mtu...
Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii.
Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa.
Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
Dah serikali zetu hizi bhana
Ukiachilia mbali uzwazwa wa mtu binafsi wa kutapeliwa na kufahamishana habari za sensa ambapo taarifa zake tayari zipo kwenye Tovuti ya takwimu nbs.go.tz na pdf lishatoka.
Nadhani kunaishu nyingine nyingi za muhimu ambazo serikali zetu zilitakiwa zitilie mkazo kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7...
Habari JF.
Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6.
Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali.
Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali.
Uporaji upo ilihali Rais yupo...
Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA.
Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora.
Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
Unjani sabuwona
Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao.
Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo...
Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.