Kama kichwa kinavyojieleze, ikiwa unasoma, au umewahi kusomea Open University kwa Bsc. Education, naomba tujuane tupeane uzoefu wa namna ya kutoboa kozi hii.
Asanteni
Habari za muda huu waungwana?
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia.
Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
Simple sana.
Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM.
Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM.
Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM.
Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari".
Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi;
Bidhaa
Mwanamke [ Nyanya ]
Wauzaji
Wazazi upande wa mwanamke
Wanunuzi
Wazazi upande wa mwanamme.
Dalali
Mshenga
Mazungumzo ya biashara:
Mzazi upande wa mwanamke...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Mkenge; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mhe. Mohamed Usinga na...
Kuna tangazo lipo kwenye mtandao wa kijamii wa facebook linahusu kutibu HIV, ni mwezi wa sita huu kama sikosei tangu nimeanza kuliona.
Nimeweka hapo jina la daktari na wakala wake kwa hapa Tanzania.
Ninachoweza kufahamu hakuna kitu kama hicho na mbaya zaidi watu inaonekana wanatapeliwa sana...
NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO
Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
Mabibi na mabwana, kile kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia eneo la ajali sasa kimepitwa na wakati, kwa sasa ukivunja taa ya V8 wewe simama ongea tu na mwenye gari kisha mpeleke Tabata Sanene kwenye kiwanda cha kutengeneza taa, badala ya kutumia milioni 4 kununua taa moja, sasa utatumia...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier.
Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
Aisee yani mpaka aibu wanayo ongea na kujibishana huko.mwengine anaongelea ngono wakati nchi inatatizo la mashule kwao huko vijijini internet wanaisikia.
wengine wanatetea wasanii wao sababu alikuwa meneja,wengine waganga.
nchi hii mungu tusaidie maana tunazungumzwa vibaya na ilivokuw sifa media...
Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo.
Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
07 Feb, 2023
SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU.
Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili.
Gharama za maisha zinapanda kila...
Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki.
Kumbe tulipigwa
USSR
--
Rais Samia amesema haya...
"Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
Jana nikiwa nimejipumzisha zangu nikajisikia kusikiliza Redio kidogo basi mara nyingi ikitokea Nataka kusikiliza matangazo ya Redio basi Tbc Taifa ndio sehemu muafaka kwangu Kule huwa napata kitu roho inapenda,maana hizi Redio za niaje niaje mtu wangu na collection ya miziki Yao ya kamata kiuno...
Kodi ni matoleo ya watu kutokea katika mapato yao ambayo kimsingi hayapaswi kuwa mzigo.
Mnapowalazimisha watu hata kwenda kukopa ili wawaletee tu nyie pesa kwa hakika hiyo siyo kodi tena bali ni wizi.
"Mtu kajenga nyumba yake kwa kujikongoja labda kwa miaka kadhaa ikimgharimu labda 60m/- +...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.