Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake.
Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
Kama wewe ni freelancers au ndo unaanza kazi ya freelancing basi sio mara ya kwanza kusikia makampuni, ikiwemo upwork, fiverr, guru, indeed, au people per hour. Na pengine ulishawahi kuomba kazi kwenye makampuni yote hayo bila mafanikio. Kitu gani naweza kukuambia ni kuwa unaweza kupata clients...
Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), Khadija Said (watatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “10 na Kitu” ya Benki ya CRDB inayolenga katika kuadhimisha miaka 10 ya huduma za CRDB Wakala. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Wateja Wago na wa Kati wa Benki ya...
Wakuu,
Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?
Natanguliza shukrani.
Habari zenu wana JF wenzangu.
Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.
Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.
Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.
Je, hizi tetesi ni kweli.?
Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani.
Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel.
Hili suala...
Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
Habari zenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote.
Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77.
Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi.
Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa?
Toa pongezi kwake hadharani.
Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya asilimia 15% na tishio kwa mteja anayeshindwa kulipa kwa wakati, elezea jinsi ulivyodhalilishwa na mikopo...
Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi.
Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu hakulitendea haki ni Haki za Binadamu. Na eneo hilo alikuwa mkali kweli kweli kuanzia kwa watu wake...
"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.